Kama dada yangu ni mtu mzima na siyo mwanafunzi hakuna tatizo lolote kwangu, kwani kila mtu anamaisha yake, halafu imetokea tu kitaani nimemkuta dada ananyonywa mate, haikupangwa, kwa hiyo sioni tatizo hapo.
namuacha ajienjoy na jamaa....baadae naja kumueleza wanaume ni kama mzabzab so be careful
Mh!!.kama ni mwanafunzi nawe pia ni mwanafunzi hapo itakuwaje? Hii ipo sana jamani,huyu jamaa kaiona
ndo nin hiyo hebu nifadaduliekwani dada yako hana genye?
Imagine kuwa umekwenda mitaa flan kutembea,suddenly unakutana na your lover(ww ni mvulana)ukamsalimia,kama kawaida ukambusu kwenye lips,wakati unambusu kumbe dadako wewe alikuwa anapita,dadako akatabasamu kwa kukuona unamkiss wifie(japo hujamtambulisha).Sasa ww ulivyoona dada katabasamu ukaongeza busu jingine kwa kujipa kichwa mbele ya dadako,sister hakusema kitu bali akaondoka kimyaaa.
Je? Siku ukimkuta dadako nae kakumbatiwa na jamaa,alivyokuona tu akalipiga busu jamaa kwa kujipa kichwa kwako kama ww ulivyofanya cku zileeee!..Hapo utasema umedharauliwa au utafurahi na kukeep silence kama yy alivyochuna cku zileeee?
Kama dada yangu ni mtu mzima na siyo mwanafunzi hakuna tatizo lolote kwangu, kwani kila mtu anamaisha yake, halafu imetokea tu kitaani nimemkuta dada ananyonywa mate, haikupangwa, kwa hiyo sioni tatizo hapo.
Bra-J kuna wanafunzi watu wazima mfn wale wanaokula maQT au Private candidates!
au ni mwanafunzi lakini ameshavuka miaka 18, imekaaje hapo???:-*
Alaf huu ni ujinga tu kwanini mlane denda hadharani-kwani watu wengine hawahitaji kuheshimiwa?????