Hii ni Mpya kabisaa.. haijawahi tumwa hapa..... Nahitaji jua WHY???

Itakuwa ulikuwa unafanya tendo la ndoa na jini mahaba ndiyo hali hiyo utokea na mtu huona anaridhishwa zaidi kuliko akifanya na binadamu mwenzake.
Inaoneka mheshimiwa una experience nzuri na Hilo jini. Imani potofu imekujaa, maskini tumekwisha kupoteza
 
Jamani fungukeni hapa wadada, mi nasubiri maukweli! Duh....! Hii kitu noooma!!
 

hizo ni ndoto za ma tineja.
 
Itakuwa ulikuwa unafanya tendo la ndoa na jini mahaba ndiyo hali hiyo utokea na mtu huona anaridhishwa zaidi kuliko akifanya na binadamu mwenzake.

kwa imani yako ni sawa tu,lakini kisayansi inafahamika kama wet dream,ni njia ya mwili ku-rid off waste! Ni automatic valve zipo kazini.
 
ujanani nilikuwa nawaogopa mademu sana,kusema ukweli nilianza kutogoza at 25! Hizo ndoto zilikuwa kawaida sana....taaaamu!
 
Weweee nakuhakikishia halishindi la "mkono"yani ni noma!Wale vijana wa uswazi wanaelewa kitu hii!
 
Kongoshoooooooo , hatuji ngo si mnajua wanawake wasiri sana hatusemi inakuwaje na hamtajua ng'oooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…