Jaman za hasubuhi?mim mzunguko wangu wa siku ni siku 34.sasa juzi umefka muda wa kuona siku zangu nashangaa niliona vidamu vidogo nikipangusa,alafu baada ya siku kama 2 vikakatika.naomba msaada wenu jamani,inaashiria nini?
Nenda hospitali au kama unahisi ndo utamu ulishakolea hebu jicheki mwenyewe kwa kutumia UPT zipo nyingi tu maduka ya dawa na ni buku tu inategemea na huko uliko.
Usijali ni kawaida tu.
Kila jambo alifanyalo mwana wa Adamu hapa duniani huwa na matokeo yake,aidha chanya ama hasi ila unatakiwa ukubaliane nayo!