Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
🤣🤣Sawa, kunywa maji
But yanga wenyewe mara nyingi wanasema Bora wafungwe na team yoyote ata iwe ndogo kiasi lakini hawapo tayari kufungwa na Simba so hiyo misemo Yao inaonyesha wanaikamia SimbaKuna hii dhana ambayo inalazimishwa kuingizwa kwenye vichwa vya watu hasa mashabiki wa klabu ya Simba kutoka kwa viongozi wa Simba, ni dhana mfu.
Kusema Yanga SC huwa wanaikamia Klabu ya Simba kwenye Derby, kwamba ndiyo mafanikio yao makubwa kuifunga Simba. Huu ni uoga unaotumika kama mbinu ya kujitetea kuwalinda viongozi ili hata ikitokea wamepoteza mashabiki waamini kuwa si jambo la ajabu kwa sababu Yanga wanaikamia Simba.
Moja ya furaha ya klabu yoyote Duniani ni kushinda Derby, na hakuna klabu yoyote Duniani isiyopenda kushinda derby, hivi vingine ni mbinu ya kujitetea tu.
Msimu unapoanza lengo mama la klabu yoyote kubwa kwenye eneo husika ni kushinda makombe. Ili ushinde Kombe la Ligi Kuu, muhimu ni kuchukua alama kutoka kwa 'Title Contenders' wenzio ili kurahisisha mbio za kulisaka kombe.
Ni uongo kuwaambia watu kuwa Simba huwa haichezi kwa nguvu dhidi Yanga, kwamba malengo ya Simba ni kimataifa na sio ligi ya ndani, hata shetani ataona aibu. Ukifungwa kubali umefungwa na siyo kutafuta sababu mara uchawi, mara timu hii inakamia sana.
Hao jamaa wa njano na kijani wangekuwa wanakamia mechi moja pekee wasingekuwa na makombe 28 ya ligi, na wasingekuwa na 'Unbeaten' 42 za Ligi Kuu mpaka sasa.
Wakosoaji watahoji, mbona kimataifa Yanga hawafanyi vizuri kama hawakamii? Jibu rahisi tu, kufanikiwa kwenye michuano ya kimataifa kuna mchanganyiko wa vitu vingi, Bahati+Uzoefu+Ubora+Muda na jinsi mnavyoyaendea mashindano.
Na ndiyo maana Manchester city ni miongoni mwa vilabu bora Duniani kwa sasa, wametawala soka la England 🏴 miaka ya hivi karibuni lakini wanahangaika kwenye michuano ya UEFA. Wana kila kitu ila linapokuja suala la UEFA wanafeli. Hawa nao unaweza sema wanakamia timu za England pekee?
Mafanikio ya klabu ni makombe vingine ni maoni tu ya watu na siyo ukweli. Kama Makombe yanapatikana kwa kushinda mechi ikiwemo Derby, kwanini isiwe?
Hawana lolote eti wao wakishinda ni sawa wakishindwa wanatafuta kichaka hawana kitu haoMashabiki wa Simba wana visingizio sijapata kuona.
1. Wakifungwa wanasingizia refa
2. Wanamlaumu matola.
3. Kocha zoran alisababisha wafungwe.
4. Yanga wanahonga marefa.
5. Yanga wanakamia mechi.
6. Yanga wanatumia uchawi
Uzi uishie hapa. Mleta mada akanywe majiBut yanga wenyewe mara nyingi wanasema Bora wafungwe na team yoyote ata iwe ndogo kiasi lakini hawapo tayari kufungwa na Simba so hiyo misemo Yao inaonyesha wanaikamia Simba
Sisi tunachojua J'pili tunampiga Utopolo kama kigoma cha daku vile hayo mengine hatuelewi kitu kabisa.Kuna hii dhana ambayo inalazimishwa kuingizwa kwenye vichwa vya watu hasa mashabiki wa klabu ya Simba kutoka kwa viongozi wa Simba, ni dhana mfu.
Kusema Yanga SC huwa wanaikamia Klabu ya Simba kwenye Derby, kwamba ndiyo mafanikio yao makubwa kuifunga Simba. Huu ni uoga unaotumika kama mbinu ya kujitetea kuwalinda viongozi ili hata ikitokea wamepoteza mashabiki waamini kuwa si jambo la ajabu kwa sababu Yanga wanaikamia Simba.
Moja ya furaha ya klabu yoyote Duniani ni kushinda Derby, na hakuna klabu yoyote Duniani isiyopenda kushinda derby, hivi vingine ni mbinu ya kujitetea tu.
Msimu unapoanza lengo mama la klabu yoyote kubwa kwenye eneo husika ni kushinda makombe. Ili ushinde Kombe la Ligi Kuu, muhimu ni kuchukua alama kutoka kwa 'Title Contenders' wenzio ili kurahisisha mbio za kulisaka kombe.
Ni uongo kuwaambia watu kuwa Simba huwa haichezi kwa nguvu dhidi Yanga, kwamba malengo ya Simba ni kimataifa na sio ligi ya ndani, hata shetani ataona aibu. Ukifungwa kubali umefungwa na siyo kutafuta sababu mara uchawi, mara timu hii inakamia sana.
Hao jamaa wa njano na kijani wangekuwa wanakamia mechi moja pekee wasingekuwa na makombe 28 ya ligi, na wasingekuwa na 'Unbeaten' 42 za Ligi Kuu mpaka sasa.
Wakosoaji watahoji, mbona kimataifa Yanga hawafanyi vizuri kama hawakamii? Jibu rahisi tu, kufanikiwa kwenye michuano ya kimataifa kuna mchanganyiko wa vitu vingi, Bahati+Uzoefu+Ubora+Muda na jinsi mnavyoyaendea mashindano.
Na ndiyo maana Manchester city ni miongoni mwa vilabu bora Duniani kwa sasa, wametawala soka la England [emoji1022] miaka ya hivi karibuni lakini wanahangaika kwenye michuano ya UEFA. Wana kila kitu ila linapokuja suala la UEFA wanafeli. Hawa nao unaweza sema wanakamia timu za England pekee?
Mafanikio ya klabu ni makombe vingine ni maoni tu ya watu na siyo ukweli. Kama Makombe yanapatikana kwa kushinda mechi ikiwemo Derby, kwanini isiwe?
Naomba nikuulize maswali mawili Kama ifuatavyo Kwanza maana mpira Ni mchezo wa wazi kabisa kwa Nini yanga alipita mlango wa mashabiki kuingia uwanjani?? Pili wewe huoni yanga huwa anajituma Zaid anapokutana Na Simba??? Utafikiri kesho hachezi Tena???Kuna hii dhana ambayo inalazimishwa kuingizwa kwenye vichwa vya watu hasa mashabiki wa klabu ya Simba kutoka kwa viongozi wa Simba, ni dhana mfu.
Kusema Yanga SC huwa wanaikamia Klabu ya Simba kwenye Derby, kwamba ndiyo mafanikio yao makubwa kuifunga Simba. Huu ni uoga unaotumika kama mbinu ya kujitetea kuwalinda viongozi ili hata ikitokea wamepoteza mashabiki waamini kuwa si jambo la ajabu kwa sababu Yanga wanaikamia Simba.
Moja ya furaha ya klabu yoyote Duniani ni kushinda Derby, na hakuna klabu yoyote Duniani isiyopenda kushinda derby, hivi vingine ni mbinu ya kujitetea tu.
Msimu unapoanza lengo mama la klabu yoyote kubwa kwenye eneo husika ni kushinda makombe. Ili ushinde Kombe la Ligi Kuu, muhimu ni kuchukua alama kutoka kwa 'Title Contenders' wenzio ili kurahisisha mbio za kulisaka kombe.
Ni uongo kuwaambia watu kuwa Simba huwa haichezi kwa nguvu dhidi Yanga, kwamba malengo ya Simba ni kimataifa na sio ligi ya ndani, hata shetani ataona aibu. Ukifungwa kubali umefungwa na siyo kutafuta sababu mara uchawi, mara timu hii inakamia sana.
Hao jamaa wa njano na kijani wangekuwa wanakamia mechi moja pekee wasingekuwa na makombe 28 ya ligi, na wasingekuwa na 'Unbeaten' 42 za Ligi Kuu mpaka sasa.
Wakosoaji watahoji, mbona kimataifa Yanga hawafanyi vizuri kama hawakamii? Jibu rahisi tu, kufanikiwa kwenye michuano ya kimataifa kuna mchanganyiko wa vitu vingi, Bahati+Uzoefu+Ubora+Muda na jinsi mnavyoyaendea mashindano.
Na ndiyo maana Manchester city ni miongoni mwa vilabu bora Duniani kwa sasa, wametawala soka la England [emoji1022] miaka ya hivi karibuni lakini wanahangaika kwenye michuano ya UEFA. Wana kila kitu ila linapokuja suala la UEFA wanafeli. Hawa nao unaweza sema wanakamia timu za England pekee?
Mafanikio ya klabu ni makombe vingine ni maoni tu ya watu na siyo ukweli. Kama Makombe yanapatikana kwa kushinda mechi ikiwemo Derby, kwanini isiwe?
Pale Simba Kuna timu ya kukamia!!?..mtatafutana Sana jumapili na mtamtimua guardiola mnene mwenye pira mahaba ya tangaBut yanga wenyewe mara nyingi wanasema Bora wafungwe na team yoyote ata iwe ndogo kiasi lakini hawapo tayari kufungwa na Simba so hiyo misemo Yao inaonyesha wanaikamia Simba
Jitahidi uchukue ubingwa,maana makundi huvuki,mwakani tutapeleka timu mbili tu,bingwa atacheza klabu bingwa na WA pili ambaye ni azam atacheza shirikisho,huko makundi hupiti uwashe moto uwanjani,uwapulizie vyumbani au sumu kwenye vyakula hoteli...hupitiMashabiki wa Simba Kwa sasa focus ni ligi ya mabingwa Africa . Yanga tunacheza nao basi tu Kwa sasa ila ligi ya mabingwa ina raha yake . Labda Kwa sababu yanga hamshiriki hamuwezi elewa siku mkiingia group stage na kuvuka mtaelewa tunavyojiskia mashabiki wa simba
Mwajificha,tutawafukunyua..hatujali,tuwapige nne imaraMechi imepotezewa, Uto wanahangaika kulaumu. Ni kama tunakuja kucheza na Ndanda tu