moreen baby
Senior Member
- Feb 20, 2014
- 127
- 23
yupo kwenye mahusiano mengine lakini unakuta unamtumia sms ex wako ya salamu au kitu chochoteInakuwa sio halali kama upo kwny mahusiano mengine lkn kama huna mahusiano si vibaya kukumbushia waswahili wanasena mavi ya kale hayanuki
na hapo upo kwenye mahusiano mengineHabari wana MMU,
Hivi ni haki kwa mwanamke au mwanaume kuchati na ex boy wake au ex-girl wake hali ya kuwa unajua ex wako huyoo bado anahitaji nafasi ndani ya moyo wako?
Msaada tafadhalii
fafanua uhalali wake na siuhalali wakeNihalali na sio halali pia
yupo kwenye mahusiano mengine lakini unakuta unamtumia sms ex wako ya salamu au kitu chochote
fafanua uhalali wake na siuhalali wake
teh teh cchepuki ng'oooHiyo sio halali na akifanya hivyo ujue bado anakumbushiaga kuchuma tunda la kati,naww ntumie msg mm tuchat apate kujifunza.
Habari wana MMU,
Hivi ni haki kwa mwanamke au mwanaume kuchati na ex boy wake au ex-girl wake hali ya kuwa unajua ex wako huyoo bado anahitaji nafasi ndani ya moyo wako?
Msaada tafadhalii
Nihalali iwapo wewe na EX-wako mliachana kwa amani mnaweza chart tu kama mafariki na sio wapenzi na hii ni kama haupo kwenye mahusiano na mtu mwingine
Nasio halali kama upo kwenye mahusiano mengine then una chart na EX-wako.
teh teh cchepuki ng'ooo
kwaiyo unamaanisha hata salamu hakuna kujibu