Hii mbegu noma aseee

Sasa huyo ana uzuri gani?? Hakuna kitu hapo, nenda makumbusho ukaoshe macho.
 
Nadhan MBEGU hi inafaaa kupandwa Mbeya,Njombe kiujumla mikoa yeny barid co DAR
 
Write your reply...daah hizi picha humu ndani zishamuamsha athumani jicho moja na alikuwa ameshakunywa uji amelala
 
we jamaa bhana, sasa picha yenyewe ipo nusu, vipi kuhusu chini, vipi kuhusu tabia zake, unaweza kuwa na bonge la mwanamke ila visa vyake utakimbia mwenyewe...... MKE ni tabia mkuu, hapo ndo ukweli ulipo, mengine ni kufurahisha mb*o tu, ila tabia njema ya mkeo ndiyo inafanya watu waseme mji wa fulani umetulia
 
Sasa huyo ana uzuri gani?? Hakuna kitu hapo, nenda makumbusho ukaoshe macho.
Yaani huyu hadi kny top 50 yangu hawezi shika namba. Nimeamini ile msemo kuwa unae muona mbaya kwa mwenzio mzuri
 
Wa kawaida sanaa.
unaweza ukamuona sura nzuri umbo zuri.
Lakini mzigo ukawa ovyo.
mimi sibabaishwi na uzuri wa sura ya mwanamke au umbo Lake.
uzuri upo pale kati kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…