hii maanake nini sasa !?

Kwani kaka hutoi mpaka uombwe?

ndo kanuni ya mjini ....asa mi ntajuaje kama anashida ya pesa ...na sio kuwa sipendi kutoa ila sipendi kuombwa pesa kwa sababu umeziona pesa omba pesa pale kweli una shida ya pesa
 
ndo kanuni ya mjini ....asa mi ntajuaje kama anashida ya pesa ...na sio kuwa sipendi kutoa ila sipendi kuombwa pesa kwa sababu umeziona pesa omba pesa pale kweli una shida ya pesa

Hii nayo kali ya mwaka. Yaani huwezi kumpa girl friend wako pesa mpaka akuombe!!! Ila ku -DO unataka. Mimi naona sawa sawa alivyoamua kuwa anakupekua, tena naona alikuwa anachukua kidogo ndio maana umeshindwa kugundua.

Mwanamke hatakiwi kukuomba hela,labda kuwe na dharula. Hakuna asiyejua kuwa mwanamke ana matumizi mengi. Mruhusu basi atafute wa kumuhudumia finacially ili wewe ubakie kuwa wa kwenye 6x6 tu.
 
Sura ya Pesa thehunk hana hela..
mtafute Young Killer atakufariji
 
Last edited by a moderator:
khaaaa mwanaume wa ajabu wewe yaani mwanamke yuko kwenye period bado ungemgegeda? Tamaa uchu au ni nini?

Ila ndo maana umepata mwanamke wa namna hiyo maana mwanamke anayejielewa asingekubali


Anyway huyo mwanamke hafai ni wa kugegeda tu ingawa una bahati hakuchomolei anakagua tu

Halafu mwanamke haombi hela mwanaume unapaswa kujua jukumu lako

 

mh! Huyo mwanamke atakua ni search money engine!
 
huyo ni wife material....si unakumbuka hata mama yako alivyokuwa anam-search mshua akitoka job
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…