Jana nilituma pesa toka tigo pesa kwenda airtel money, hela ilikatwa kwenye account yangu lakini haikufika kwa mlengwa. .
Baada ya kuongea na customer care walisema pesa itarudi ndani ya saa 24 na ilirudi leo asubuhi.
Nikatuma tena leo hii ikawa kama ilivyokuwa jana, nikatoa taarifa customer care wakasema kuna tatizo na baada ya muda mfupi hela ikarudi