Hii inaboa sana

mi hesabu sijui ila naiga picha wanazotumia
hii %70 ndio unamaanisha??
 

ni mimi unaniangalia hivyo??
 

na ww ni wale wale
 
Kwan lazima kufanya si mlale tu kha!!
 
%70 ndio nini? Nauliza tu!

Percent seventy!!! hawa watoto wa kichina watatumaliza na vimbwenga vyao!! Huyo dem wala usingelalamika yan ungeishia kuchomoka kimyakimya maana hakupendi kabisaaaaaaa! laiti ungejua wenzio anavyowashughulikia....kuna jamaa mmoja aliambiwa kuwa twende ukashuhudie mke wako anapakuliwa...jamaa kwenda akakuta mke wake kakunjwa kisawasawa akaishia kuuliza "sasa ndo anaf*rwa au?" jamaa wakamjibu kule ni kwenyewe kaka!! jamaa akazimia!
 

Mmmhhh...
 

hahahaaaa! Duuh kakichm kama beberu!! Umenichekesha aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…