MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
tafuta wamakonde utakimbia mwenyewe
gal mwenye hisia nawew hawezi kuwa hvyo..kun watu wanatoa ushuhud vijiwen "wana msimuone mtoto sistaduu bt hafai anapiga game hatari alitaka niua" ww unasem nikamtest unampa vihela vya bum anakup mchezo kam hvyo yan anakuach huangaike asepe cz mzuka zero....
mh! Mitarimbo inalala doro mapema hivo had mtafute starter? Duh! Si bure
Hiyo %70 ya hao mademu unaodai umeitoa wapi?....ina maana hao wote ni wewe uliwa......na ukawakuta wako hivyo kweli au basi tu unataka kusingizia watoto wa watu.....aiseeee! hiyo research yako ni ya khataarii.