Hii imetokea Sinza

Hahahaha ukichukua sindano unatoboa jipu
 

kweli watakuwa ni walinzi wapo wageti mawili tofauti
si unajua wanaume wa Dar kwa kujidai
Hahahaha et wanajiita GM (Gate Man) kama huwajui utaingia mkenge wa kujua ni General Manager
 
Kende mdondo... kuku akipita hapo lazima ashangae shangae alafu taratibu hudonoa...
 
Kudadadeki Tezi dume zinakula kipupwe cha Dar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…