joana stationery digital printing

printing a4 size black = tsh 100

printing a3 size black = tsh 300

color printing a4 size = tsh 500

color printing a3 size = tsh 100

mteja anachagua aina ya karatasi anazotaka.

pia tuna print labels

note: Tupo savei njia ya kwenda braject opposite bull park pub

huduma nyingine zote za stationery zipo na kwa bei poa,

0717144200, 0713403517 ,0719384898
a3 color ni tsh 100 ? Hapana sio kweli.uko makini kweli unajua unaweza kujaza watu kumbe umekosea bei.
Una maana black a3 ni ghali kuliko color a3? Be serious
niko serious sana tu kaka ila kumbuka ikiwa ulimi hutelaza je mkono?
asante kaka kwani kuteleza kupo natenda kurekebisha
color print a 3 ni tsh 1,000
pia taasisi, makampuni,shule n.k kuprint a 4 black ni tsh 50 kwa page zaidi ya 1,000
kumbuka mashine zetu zina finisher (stapler) kwa kurahisisha kazi za haraka.pia tunafanya parking ya kazi.
Haa haaaa nimekukubali karibu basi uniungishe
Ok nimekupata.mimi huwa nahitaji print za a3 color mara nyingi huwa naprint zaidi ya karatasi kumi. Kama vp nitapita hapo.ni sehemu gani hapo kwnye maduka ya frem nyingi.huwa nahitaji best quality printing.