hata kama kenya wakijenga reli ya kisasa namna gani na kuharakisha mizigo hadi kigali haraka kiasi gani, itakuwa ni kwa kipindi kifupi tu, siku zijazo Tanzania wakiboresha miundo mbinu yake hasa railway to bujumbura, kigoma, mwanza,bukoba, tutawanyang'anya wateja wooote ndani ya miezi sita tu. kenya yaweza kushindana na tz katika nyanja nyingine lakini sio bandari, kwasababu jografia yenyewe ni mungu aliiweka hatuwezi kubadilisha. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki East Africa.The high cost of moving cargo through Kenya is pushing most East African traders to Dar es Salaam despite reforms that have significantly raised efficiency at the port of Mombasa.
Traders based in Kigali, Bujumbura and Goma pay less to move goods from the port of Dar through Tanzanias Central Corridor than from Mombasa Port through Kenyas Northern Corridor, a new survey shows.
It costs $4,800 to transport a standard 40 foot container cargo through the Northern Corridor to Kigali, $6,500 to Bujumbura and $7,000 to Goma from Mombasa Port.
The same container transported through Dar would cost $4,300 to Kigali, $4,500 to Bujumbura and $4,700 to Goma, a survey conducted by the Shippers Council of Eastern Africa indicates.
Expensive rail
The survey launched in Nairobi Thursday also shows that that rail transport costs per kilometre for a standard twenty foot container (TEU) is $1.24 if handled by Tanzania/Zambia Railways Authority network and $2.66 by the Kenya/Uganda network.
It is, therefore, clear that Tanzanian shippers pay three times less freight charges for railway services than their Kenyan counterparts, the survey says.
Traders in Kampala and Juba, however, find it cheaper to move goods from Mombasa through the Northern Corridor than Tanzanias Central Corridor.
The high cost of shipping goods to Rwanda, Burundi and DRC is likely to thwart a campaign by the Kenya Port Authoritys (KPA) to grow its transit cargo business.
READ: Ugandan importers opt out of Kenya transport route
Under a strict directive from President Uhuru Kenyatta, the government agencies handling cargo at the port have significantly improved their efficiency raising the pace of goods movement within the national borders.
The changes saw the Mombasa Port dwell time (average number of days it takes cargo to leave the port terminal from the time it is offloaded from the vessel) improve from 5.8 days last year to 3.7 days by June.
Truck transit time also reduced to just three days from an average of seven days last year.
READ: KPA sets deadline to free up port
KPA officials have been betting on the improvements to stake claim o
We in Mombasa have made effort to attract this business, KPA managing director Gichiri Ndua said in Nairobi on Wednesday.
Data prepared by KPA indicates that Mombasa Ports transit traffic increased by only 9.6 per cent, with Uganda accounting for 77 per cent of the 3.53 million tonnes of cargo handled by the facility last year.
Rwanda traders moved only 110,540 tonnes of cargo through the Kenyan facility.
Source:East African
Copy Geza Ulole kadoda11 Bulldog @lawmaina78
hata kama kenya wakijenga reli ya kisasa namna gani na kuharakisha mizigo hadi kigali haraka kiasi gani, itakuwa ni kwa kipindi kifupi tu, siku zijazo Tanzania wakiboresha miundo mbinu yake hasa railway to bujumbura, kigoma, mwanza,bukoba, tutawanyang'anya wateja wooote ndani ya miezi sita tu. kenya yaweza kushindana na tz katika nyanja nyingine lakini sio bandari, kwasababu jografia yenyewe ni mungu aliiweka hatuwezi kubadilisha. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki East Africa.
hata kama kenya wakijenga reli ya kisasa namna gani na kuharakisha mizigo hadi kigali haraka kiasi gani, itakuwa ni kwa kipindi kifupi tu, siku zijazo Tanzania wakiboresha miundo mbinu yake hasa railway to bujumbura, kigoma, mwanza,bukoba, tutawanyang'anya wateja wooote ndani ya miezi sita tu. kenya yaweza kushindana na tz katika nyanja nyingine lakini sio bandari, kwasababu jografia yenyewe ni mungu aliiweka hatuwezi kubadilisha. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki East Africa.
my friend, sisi waswahili kuna msemo tunasema "mbio za sakafuni huishia ukingoni". unaweza kuwa unakimbia sana lakini kuna mahala huko mbeleni utakuta hakuendeki. as for us Tanzanians, its just a matter of time and God willing, next year; should we get a new president with new vision basi kenya hamtakuwa na pumzi kushindana na sisi. tukipata rais mwenye maono mapya ya kuendeleza bandari ya bagamoyo na Dar es salaam, rais atakayeboresha reli ya kati toka Dsm hadi mwanza, kigoma, reli ya Tanga arusha mwanza lusumo, reli toka isaka hadi bujumbura pamoja na barabara, hakika nakwambia hata kama kenya watakuwa wameungana na uganda na Rwanda, wafanyabiashara wa rwanda na uganda watakimbilia tz tu.hapo itabaki competition ya kupunguziana bei za garama za usafiri tu lakini ukiona tumeboresha miundombinu yetu kenya hamna uwezo kushindana na Tanzania.Siku zote mnaimba kuhusu jigrafia siku zote huku mumelala wakati sisi tupo tunajaribu kila mbinu kuboresha huduma.
by the way, i like your signature, umeona yanayofanyika iraq kwa wale yazid na syria by ISIS? wanachinja wakristo ndugu yangu! Mungu awaokoe watu wale.Siku zote mnaimba kuhusu jigrafia siku zote huku mumelala wakati sisi tupo tunajaribu kila mbinu kuboresha huduma.
my friend, sisi waswahili kuna msemo tunasema "mbio za sakafuni huishia ukingoni". unaweza kuwa unakimbia sana lakini kuna mahala huko mbeleni utakuta hakuendeki. as for us Tanzanians, its just a matter of time and God willing, next year; should we get a new president with new vision basi kenya hamtakuwa na pumzi kushindana na sisi. tukipata rais mwenye maono mapya ya kuendeleza bandari ya bagamoyo na Dar es salaam, rais atakayeboresha reli ya kati toka Dsm hadi mwanza, kigoma, reli ya Tanga arusha mwanza lusumo, reli toka isaka hadi bujumbura pamoja na barabara, hakika nakwambia hata kama kenya watakuwa wameungana na uganda na Rwanda, wafanyabiashara wa rwanda na uganda watakimbilia tz tu.hapo itabaki competition ya kupunguziana bei za garama za usafiri tu lakini ukiona tumeboresha miundombinu yetu kenya hamna uwezo kushindana na Tanzania.
ombeni Mungu tusiboreshe miundo mbinu yetu ili muendelee kudominate. zaidi ya yote, Tanzania inalenga zaidi wateja wa Congo na burundi, ukiona tumeunganisha reli na barabara kutoka Dar es salaam hadi bujumbura, wateja wote wa congo watapitia dsm, na bila shaka kwasababu toka dsm hadi bujumbura ni karibu kuliko mombasa-kigali, basi inawezekana wafanya biashara wa kigali wakawa wanatumia mizigo through burundi dar. ukatae ukubali huu ndio ukweli.
ndugu haina shida, kama ninyi kenya mnaendelea na yenu endeleeni, wewe kinakuuma nini kuhusu tz wakati wewe si mtz na mambo ya tz hayakuhusu?Huu umekua wimbo wenu tangu miaka mingi sana, kwamba subiri tuboreshe, subiri tupate rais mpya, subiri tufanye hiki, subiri tufanye kile. Jameni mimi naona kama uvivu wa waswahili tu. Fanyeni yenu sasa hivi, kwa miaka mingi sasa naskia mradi wa DART na hadi sasa hamna hata bus moja baranarani.
Mara nyingi nimesema, hata mkijenga bandari ya Kigamboni iwe kubwa aje, kama hambadiliki kama nyie, bado wimbo utakua ule. Sasa hivi bandari ya Dar is the most mismanaged, mnategemea jiografia tu. Sisi Kenya tunafanya yetu, haijalishi kama mtaona ushindani, muhimu tunaboresha huduma zetu. Hivi sasa tayari ujenzi umeanza wa reli ya kisasa itakayowezesha usafiri toka Mombasa hadi Kigali ndani ya siku moja ama mbili.
ndugu haina shida, kama ninyi kenya mnaendelea na yenu endeleeni, wewe kinakuuma nini kuhusu tz wakati wewe si mtz na mambo ya tz hayakuhusu?