heslb

Kama umri una ruhusu postpone mwaka huu chenga
 
Wote Mtapata Mikopo.Hakuna Atakaekosa Wadau.Majina Yanapikwa Pale Makao Makuu Helsb Na Batch No 2 itatoka na hapo wote mtatulia.Hapa Kazi Tu..
 
Wote Mtapata Mikopo.Hakuna Atakaekosa Wadau.Majina Yanapikwa Pale Makao Makuu Helsb Na Batch No 2 itatoka na

apo wote mtatulia.Hapa Kazi Tu..

tatzo chuon wanataka ada kabisaa afu batch 2 haifahamik itatoka lin mkuu
 
Mtaisoma namba , ccm no ilele, ccm mbele kwa mbele
 
endelea kuwapa moyo wenzako ndugu hakuna cha mkopo hapo. mchezo ndio ushaisha mkuu tarehe 17 magufuli ndio atafungua bunge sasa wewe utaupata huo mkopo lini?
 
endelea kuwapa moyo wenzako ndugu hakuna cha mkopo hapo. mchezo ndio ushaisha mkuu tarehe 17 magufuli ndio atafungua bunge sasa wewe utaupata huo mkopo lini?
hapa kazi tu
 
Wote Mtapata Mikopo.Hakuna Atakaekosa Wadau.Majina Yanapikwa Pale Makao Makuu Helsb Na Batch No 2 itatoka na hapo wote mtatulia.Hapa Kazi Tu..
Usilete siasa kwenye maisha ya watu
 
Kuna watu wana IQ ndogo wanadhani Makufuli kaja na hela.Kama hazina ni nyeupe tegemea kitakachokusanywa karibuni kitakwenda bungeni,mawaziri wapya n.k.Maana hao wana uwezo wa kuitingisha serikali sio wanafunzi.
 
Siasa Gani Na Wameenda Makao Makuu Wameambiwa Batch2 Inaandaliwa.Serikali Sikivu Itawapa Mikopo

Vijana wa udsm wameenda bodi na wazir wa mikopo bt majibu walopewa ni kwamba majina mengine yatatoka bt haijulikani ni ln then mpaka serikali iwape pesa ndo hayo ya second batch yatatoka sasa swal ni je serikali isipo wap hzo pesa??
 
Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele....Acha waisome namba eee CCM mbele kwa mbele.
 
Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele....Acha waisome namba eee CCM mbele kwa mbele.

tumewapiga kwenye mikopo ccm mbele kwa mbele tutawapiga kwenye research ccm mbele kwa mbele wacha waisome namba eeehh ccm mbele kwa mbele

hapa kazi tu
 
Hahaha hahaha..hapa kazi tu! Ukiona maisha magumu achana nayo fanya mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…