smart one Senior Member Joined Sep 5, 2013 Posts 132 Reaction score 75 Sep 30, 2013 #21 mungu wa ibrahim yupo na ameyaona machozi yetu, tutapata tu maana kujigharamia 10m miaka mi3 ni tatizo, tena ndo sie wasaka tonge
mungu wa ibrahim yupo na ameyaona machozi yetu, tutapata tu maana kujigharamia 10m miaka mi3 ni tatizo, tena ndo sie wasaka tonge
paparazzi JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 572 Reaction score 145 Sep 30, 2013 #22 smart one said: mungu wa ibrahim yupo na ameyaona machozi yetu, tutapata tu maana kujigharamia 10m miaka mi3 ni tatizo, tena ndo sie wasaka tonge Click to expand... Amen....
smart one said: mungu wa ibrahim yupo na ameyaona machozi yetu, tutapata tu maana kujigharamia 10m miaka mi3 ni tatizo, tena ndo sie wasaka tonge Click to expand... Amen....
C cylivester Senior Member Joined Aug 19, 2013 Posts 150 Reaction score 8 Sep 30, 2013 #23 Mwenye nacho anaongezewa kweli Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90
Mwenye nacho anaongezewa kweli Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90
C cylivester Senior Member Joined Aug 19, 2013 Posts 150 Reaction score 8 Sep 30, 2013 #24 cylivester said: Mwenye nacho anaongezewa kweli Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90 Click to expand... Teana kuna mtu kanjuza et bod imekaa kikao tena so wanawait majib yuko bodi saivi
cylivester said: Mwenye nacho anaongezewa kweli Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90 Click to expand... Teana kuna mtu kanjuza et bod imekaa kikao tena so wanawait majib yuko bodi saivi
mkisyeli JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 260 Reaction score 76 Sep 30, 2013 Thread starter #25 cylivester said: Teana kuna mtu kanjuza et bod imekaa kikao tena so wanawait majib yuko bodi saivi Click to expand... Baas sawa ngoja tusubiri dadadeq zao
cylivester said: Teana kuna mtu kanjuza et bod imekaa kikao tena so wanawait majib yuko bodi saivi Click to expand... Baas sawa ngoja tusubiri dadadeq zao
paparazzi JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 572 Reaction score 145 Sep 30, 2013 #26 cylivester said: Teana kuna mtu kanjuza et bod imekaa kikao tena so wanawait majib yuko bodi saivi Click to expand... Hicho kikao kina representatives wa walalamikaji....??
cylivester said: Teana kuna mtu kanjuza et bod imekaa kikao tena so wanawait majib yuko bodi saivi Click to expand... Hicho kikao kina representatives wa walalamikaji....??
Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Sep 30, 2013 #27 Bodi wazinguzi hawana hata majibu watu tukaamua kusepa mwakilishi mwenyewe walie mtuma aje atusikilize nae hajui mambo kuhusu board
Bodi wazinguzi hawana hata majibu watu tukaamua kusepa mwakilishi mwenyewe walie mtuma aje atusikilize nae hajui mambo kuhusu board
baghozed JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 532 Reaction score 97 Sep 30, 2013 #28 cylivester said: Mwenye nacho anaongezewa kweli Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90 Click to expand... Hayo yote ni mazingira ya kutaka tuwahonge ili tupate loan kwa ku appeal
cylivester said: Mwenye nacho anaongezewa kweli Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90 Click to expand... Hayo yote ni mazingira ya kutaka tuwahonge ili tupate loan kwa ku appeal
paparazzi JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 572 Reaction score 145 Sep 30, 2013 #29 Pung'o boy said: Bodi wazinguzi hawana hata majibu watu tukaamua kusepa mwakilishi mwenyewe walie mtuma aje atusikilize nae hajui mambo kuhusu board Click to expand... Kwani huyo jamaa ni mlinzi au...?? Sasa analipwa kwa kazi gani..?? Leaders of this coutry are over corrupted....
Pung'o boy said: Bodi wazinguzi hawana hata majibu watu tukaamua kusepa mwakilishi mwenyewe walie mtuma aje atusikilize nae hajui mambo kuhusu board Click to expand... Kwani huyo jamaa ni mlinzi au...?? Sasa analipwa kwa kazi gani..?? Leaders of this coutry are over corrupted....
C cylivester Senior Member Joined Aug 19, 2013 Posts 150 Reaction score 8 Sep 30, 2013 #30 So mwenye ripot ya mwisho jaman alioko helbs ili tuomboleze ka mwisho zen 2angalie michakato mingine
tukunyema Member Joined Sep 19, 2013 Posts 28 Reaction score 2 Sep 30, 2013 #31 Dah mi hadi leo cjaelewa bado,wameangalia vigezo gani kutoa mkopo.