MWANKEMWA Member Joined Apr 12, 2013 Posts 63 Reaction score 7 Mar 2, 2014 #1 Wajameni,kwa yeyote mwenye updates za HESLB kuhusu walio appeal.Nashukuru
Glisten JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 301 Reaction score 22 Mar 2, 2014 #2 Cjaskia..au ndo wame2potezea
kukucd JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 307 Reaction score 196 Mar 5, 2014 #4 Wameshatoa,majina vyuoni kwenu
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Mar 5, 2014 #5 kukucd said: Wameshatoa,majina vyuoni kwenu Click to expand... Aah mke wangu hujambo?
K KG.KASELO JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 252 Reaction score 20 Mar 5, 2014 #6 kukucd said: Wameshatoa,majina vyuoni kwenu Click to expand... Mbona walisema watayaweka majina ya wanafunzi wataokuwa wamefaulu rufaa zao kwenye web yao,,,mbona kimya na kwa nin wapeleke chuoni?
kukucd said: Wameshatoa,majina vyuoni kwenu Click to expand... Mbona walisema watayaweka majina ya wanafunzi wataokuwa wamefaulu rufaa zao kwenye web yao,,,mbona kimya na kwa nin wapeleke chuoni?
MWANKEMWA Member Joined Apr 12, 2013 Posts 63 Reaction score 7 Mar 6, 2014 Thread starter #7 kukucd said: Wameshatoa,majina vyuoni kwenu Click to expand... Nashukuru kwa taarifa Kuku,ntafatilia chouni.
kukucd said: Wameshatoa,majina vyuoni kwenu Click to expand... Nashukuru kwa taarifa Kuku,ntafatilia chouni.
Glisten JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 301 Reaction score 22 Mar 6, 2014 #8 Kama kuna m2 yeyote ameyaona kweny chuo chake a2tujuze..bado ha2elew kama yanatoka kwa Web yao ama kwa Chuo!
Kama kuna m2 yeyote ameyaona kweny chuo chake a2tujuze..bado ha2elew kama yanatoka kwa Web yao ama kwa Chuo!
S Sadoseba JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 243 Reaction score 92 Mar 6, 2014 #9 Glisten said: Kama kuna m2 yeyote ameyaona kweny chuo chake a2tujuze..bado ha2elew kama yanatoka kwa Web yao ama kwa Chuo! Click to expand... yako vyuoni tayari
Glisten said: Kama kuna m2 yeyote ameyaona kweny chuo chake a2tujuze..bado ha2elew kama yanatoka kwa Web yao ama kwa Chuo! Click to expand... yako vyuoni tayari
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,585 Reaction score 1,348 Mar 7, 2014 #10 Sadoseba said: yako vyuoni tayari Click to expand... nikikosa appeal sitaweza kuendelea na masomo tuombeane bandugu.
Sadoseba said: yako vyuoni tayari Click to expand... nikikosa appeal sitaweza kuendelea na masomo tuombeane bandugu.
T tutuza Member Joined Mar 6, 2014 Posts 28 Reaction score 19 Mar 7, 2014 #11 kalipeni said: nikikosa appeal sitaweza kuendelea na masomo tuombeane bandugu. Click to expand... ucjali mungu yupo best!
kalipeni said: nikikosa appeal sitaweza kuendelea na masomo tuombeane bandugu. Click to expand... ucjali mungu yupo best!
T tutuza Member Joined Mar 6, 2014 Posts 28 Reaction score 19 Mar 7, 2014 #12 Ila kama ulikuwa miongoni wa walio appeal ni kwamba waliopata ni watu 400 tu kwa Tanzania nzima ukijumuisha waliokosa na walioomba kuongezewa.
Ila kama ulikuwa miongoni wa walio appeal ni kwamba waliopata ni watu 400 tu kwa Tanzania nzima ukijumuisha waliokosa na walioomba kuongezewa.
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,415 Reaction score 1,386 Mar 7, 2014 #13 tutuza said: ila kama ulikuwa miongoni wa walio appeal ni kwamba waliopata ni watu 400 tu kwa tanzania nzima ukijumuisha waliokosa na walioomba kuongezewa. Click to expand... hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300
tutuza said: ila kama ulikuwa miongoni wa walio appeal ni kwamba waliopata ni watu 400 tu kwa tanzania nzima ukijumuisha waliokosa na walioomba kuongezewa. Click to expand... hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300
country bumpkin New Member Joined Mar 7, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Mar 8, 2014 #14 Danp36 said: hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300 Click to expand... Sasa hlo nalo janga
Danp36 said: hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300 Click to expand... Sasa hlo nalo janga
T tutuza Member Joined Mar 6, 2014 Posts 28 Reaction score 19 Mar 8, 2014 #15 Danp36 said: hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300 Click to expand... ndo ivo maana wanadai fungu waliopewa limeisha, kwa hiyo habar ya mkopo ndo mwisho, hadi bajet tena!
Danp36 said: hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300 Click to expand... ndo ivo maana wanadai fungu waliopewa limeisha, kwa hiyo habar ya mkopo ndo mwisho, hadi bajet tena!
N Nsk Member Joined Aug 22, 2013 Posts 50 Reaction score 3 Mar 14, 2014 #16 Mmh ni hataree kwa hal hi mtu wa kipato cha chin ataweza kuxoma?
Johalem Senior Member Joined Sep 24, 2013 Posts 118 Reaction score 14 Mar 17, 2014 #17 eeeeh!! jamani mnazungumzia mwaka huu au??? majina kweli yapo vyuoni??? eeeh Mungu wangu tusaidie bila wewe hatuwezi kabisa.
eeeeh!! jamani mnazungumzia mwaka huu au??? majina kweli yapo vyuoni??? eeeh Mungu wangu tusaidie bila wewe hatuwezi kabisa.