Wana JF
Kwa wale walio olewa na wale ambao wameoa, lazima ifike hatua watu waheshimiane na wathaminiane, mheshimu mkeo na umheshimu mumeo, mkeo hana mchepuko ametulia na ameamua hivyo ili kulinda heshima yako sasa na ww mwanaume mheshimu mkeo, inaudhi sasa kile unachokipata kwa mchepuko mfundishe au muelekeze mkeo atakupa vilevile. ila nyie wanawake acheni tamaa mridhike na maisha yenu, usitake kuishi maisha ya kuiga kutaka kupata msivyovipata kwa waume zenu shauri yenu Mungu anakuona jibu utakalo pata utajuta. Mwezi huu wa 11 hadi mwisho wa decemba 2017 wote wenye michepuko watamurikwa, watakamatwa ungoni, watafumaniwa, wataaibishwa, watapata matatizo, watapata maradhi makubwa.
IMEFIKA WAKATI SASA WOTE TUSEME ITS OVER TUACHE KABISA TUTULIE KULINDA HESHIMA ZETU. UNAFANYA SIRI SIO SIRI TENA KAA UKIJUA. KUWA MWAMINIFU HADI KUFA HUTAHARIBIKIWA ILA UTAPENDEZA SANA AMINI.