Hao wachezaji aina ya Iker Casillas, Hummels na Mahrez ni wachache sana wengi hawaangalii heshima ya mpinzani kusema kweli Italy na Brazil ni giants ukija kwenye michuano mikubwa kama kombe la dunia, na Mahrez alimuona Samatta ni mashine ndo maana aibu zingine ni kuziacha tu.