Heri ya mwaka mpya 2015

Centrehalf

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
509
Reaction score
145
Amani kwa wote wana jf,nawatakia heri ya mwaka mpya 2015 wenye baraka tele na mafanikio.naomba mwaka 2015 tujikite kwenye mijadala ya maana na yenye tija kwa taifa kama vile njia za kumaliza ufisadi serikalini,kura ya maoni ya katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.kila la kheri wana jf.
 
asante mkuu , ndio hivyo tena mwaka umeanza na hadithi ya panya road .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…