HELSB: Bodi ya Mikopo Elimu lipeni Refunds

NapigA

Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
40
Reaction score
9
Wakuu kuna mdau namfahamu anadai refund HELSB ..alikatwa zaidi ya alichokopeshwa na HELSB walifanya hesabu na kujua kweli wali overdeduct sasa zaidi ya miaka mitatu refund haijalipwa.

Najua wahusika mnapita huku. ..embu fuatilieni refunds ni jambo linatia aibu taasisi haiwezekani ichukue muda mrefu kiasi hicho kurudisha fedha mlizochukua kwa mteja wenu kimakosa.

Kama mamlaka za juu za bodi zinafahamu hili na hazifanyii kazi nayo ni weakness kubwa mjisahihishe.

Lipeni refunds on time. Vielelezo vipo. ..mmeshashafanya reconciliation tatizo ni nini au mnasubiri mpaka alalamike kwa JPM alafu yajayo yafurahishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa in wababaishaji sana na wanawaibia watanzania.. Mfano aliyeoverpaye hatalipwa na interest ila kwao wanakata 6% kila siku kama rentention charge regardless umeshaanza kulipa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…