habari za kwenu wanaJF,
Naombeni mnisaidie kujua ni jinsi gani nitaweza ku-uninstall program yangu kwenye windows7 ambayo iko password protected. Program niliyonayo ninayotaka kuitoa inaitwa "USB Block" niliinstall zamani kidogo ili kuitest nikaiwekea na password..sasa kwakuwa siitumii nataka niitoe lakini tatizo ni kuwa kila nikitaka kuitoa inataka password kwanza na mimi nimeisahau..