Hello

Scared Weapon

New Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Jamani ninarafiki yangu ambaye kiumri mm na yeye hatulingan, yeye kaoa mm bado sijaoa na tunasoma wote chuo kimoja, niliwah mtambulisha hapo nyuma kwa mchumba wangu ambaye natarjia kuwa mam wa familia yangu, kutokana na kwamba sikumfaham vizuri hapo mwanzo tabia yake, alinigeuka na kwenda kwa mchumba wangu na kunisemea mambo ya uongo kiasi kwamba ilipelekea mgogoro mkubwa sana kati yangu na familia ya mchumba wangu, lakin namshukuru mungu alinisaidia kutumia busara na kujikaza kwa huo mtihan na kuyaweka mambo sawa kwan ukweli ulijulikana, lakin yy huyo rafiki yangu alijua moja kwa moja tumeachana na mchumba wangu. Asa kumbe lengo aharibu kwangu ili amtake huyo mchumba angu, sasa hivi anamtongoza mchumba wangu na mm nafahamu message zote anazomtumia mchumba nazipata kupitia mchumba angu kwan nilimwambia asimwambie chochote ajifanye hatupo pamoja na kweli alifanya hivyo mpaka hivi sasa anamtumia message anataka wakutane. jaman sio natania ni kwel na inaniuma sana mana ni mtu ambaye sikumtarajia kabisa kama ni wa kunifanyia mambo kama hayo kweli nimeamini rafiki ako ndo adui yako, mm nimeona nimtafute mkewe afu siku watakayo kutana nataka mkewe awepo nae ashuhudie alichokuwa mmewe akitaka kunifanyia pia hata wandishi wa habari kama naweza wapata itakuwa vzuri zaidi. Tafadhal naombeni mawazo yenu ninyi kama ndg na jamaa. Ahsanten!
 
yote hayo ya nini? Muite ukiwa. Wewe na mpenzi wako mumpe za uso na jiepushe nae
 
^^
Kwa kiasi umelea tatizo,,utaruhusu vipi meseji kwa mchumba wako..
Let me tell you
Kuna siku ataambiwa maneno matamu ambayo hukuwahi kumwambia ndo mchumba wako abadili msimamo.Kumbuka kila mmoja ana udhaifu wake.
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…