he he he haki za binadamu wakati mwneyewe ndo mstari wa mbele kuwatetea na kuwapibia debe watu wawakubali katika jamii kuwa ni haki yako, naona km unaota ndoto za mchana, dunia imevaa bikini ndg yangu haya uliona ww
Mi nilisoma nae DU ukiongezea na H inakua DUH!!!Mwingine tulisoma nae pale UD ...dah sura yake hadi leo hainipoteagi.....