Haya wadua wote mliofanikiwa kupita usahili wa kuandika yaani written interview. Soma ratiba ya Oral Interview itafanyika mikocheni. Nawatakia maandalizi mema. Kumbukeni ukitoa zile za security zote zilizobaki rejeeni katika kozi mlizosoma hasa 2nd na 3rd or 4th year.