Ngumu kuamini lakini usijaribu kwani tembo ni hatari kama utamletea mzaha.
Tuwalinde tembo wetu ili watunufaishe.
Haziitwi pembe bali vipusa!na hizo kazi unamaanisha kwa tembo au binaadamu?Kama kuuliza si ujinga ngoja leo niulize,Hivi nn kazi kubwa ya pembe za ndovu?
Kama kuuliza si ujinga ngoja leo niulize,Hivi nn kazi kubwa ya pembe za ndovu?
Kama kuuliza si ujinga ngoja leo niulize,Hivi nn kazi kubwa ya pembe za ndovu?
ujumbe huu uwafikie majangili wote waliopo ndani na nje ya nchi...