Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
AsantePole
Hivi ndio wewe kwenye avatar?Asante
Ndio tunaangalia uwezekano wa transfoma naweza pata ya kwangu tu?hahahah! kama anakupenda atakuvumilia
Ndio tunaangalia uwezekano wa transfoma naweza pata ya kwangu tu?hahahah! kama anakupenda atakuvumilia
Hapana kaka sioHivi ndio wewe kwenye avatar?
Haya ila mkianza shughuli yenu muache milango na madirisha wazi hewa ipite joto lisiwepo.😀😀Hapana kaka sio
Mimi kwetu hakuna joto na mvua inanyesha ila tu mawasiliano ndio maana babe anataka aninunulie transfomaHaya ila mkianza shughuli yenu muache milango na madirisha wazi hewa ipite joto lisiwepo.😀😀
Wanachotufanyia watajibu kwa MuumbaHahaa..!!! Tanesco Mungu anawaona
Hivi ndio wewe kwenye avatar?
Babe kasema Genereta lina kelele ntaumwa kichwaPoleee san naomba uanze kutembea na Genereta kichwani
Wamenichekesha kweliHahahahhaaaaa tanesco bhana na walivojibu sasa.......
Mh hapo sna neno lingine labda ufunge solar powerBabe kasema Genereta lina kelele ntaumwa kichwa
Tunataka transfoma Demiss hujaona sms za whatsapp za babe G hapo juuMh hapo sna neno lingine labda ufunge solar power
Aaah.... Mwambie akununulie sola kama kweli anakupenda maana kuna muda umeme unakatika tu hata uweke transformer mpyaMimi kwetu hakuna joto na mvua inanyesha ila tu mawasiliano ndio maana babe anataka aninunulie transfoma