Nimekuelewa mkuu ila kumbuka hili ni soko huria,unafaham kama bbcurve 8530 inauzwa 250 mpaka 200 dukan? Lakin humu ndan unapata mpaka kwa 100 so kitu kikishuka au kupanda sio tatizo wewe unafaham bei hiyo lakin. Kuna mtu kaiona posta pamoja na mliman city inapigwa700,na kanunua kwan k/koo hapajui? Fanya yako mkuu acha na mimi nafanye yangu!!!!
Tulitaraji kupokea matangazo ya bidhaa used (zilizotumika), kama mpya zinapouzwa tunapajua. So kama jf zinapatikana mpya kwa bei kali zaid ya dukan kuna faida gan sasa. Baya zaidi havilipiwi kodi huku walipa kodi wa kariakoo wakiumia. Japo ni biashara huria ila Uhuru usio na mipaka ni fujo.
Wakuu punguzen jazba neno bei inapungua hamjaliona,na nyinyi sio wanunuaji coz wanao hitaj wapo kwa pm so kila mtu na biashara yake wewe utakaetaka mpya ya k/koo kachukue kwan umeshikwa miguu? Kuliko kuongea upuuzi usio n kichwa wala miguu