kumbeKwani samatta sio mkenya? Kilimanjaro ipo tz ninajua hilo
Hapana! Msiwapuuze. Kuna faida wanapata kupitia propaganda hizi. Mtalii anayetaka kupanda mlima Kilimanjaro atakata ticket ya kwenda Kenya na atafikia kwanza Kenya. By the time anaambiwa mlima upo TZ atakuwa keshatumia forex Kenya. Hivyo hivyo kwa Shabiki wa Aston Villa mwenye mapenzi ya kuona nchi anayotoka Samata atakata ticket ya Kenya. Atalala Kenya atatumia Pesa pale kabla ya kuambiwa Samata anatokea nchi jirani ya Tz. Hizi habari ni za kukanushwa hata kwa level ya Wizara ya habari/Foreign affairsKwa sisi tunaofahamu mambo hiyo inaitwa intelligent propaganda wapuuzeni hawajaanza Leo
Usisahau kupitia kujibrand kuwa kiswahili ni chakwao walimu wengi wanaoitwa marekani,uingereza,Australia,Finland, Netherlands n.k kufundisha kiswahili wanatokea Kenya... Yaani katika walimu kumi wanaofundisha kiswahili ughaibuni mmoja ni mtanzania tisa waliobaki ni wakenyaHapana! Msiwapuuze. Kuna faida wanapata kupitia propaganda hizi. Mtalii anayetaka kupanda mlima Kilimanjaro atakata ticket ya kwenda Kenya na atafikia kwanza Kenya. By the time anaambiwa mlima upo TZ atakuwa keshatumia forex Kenya. Hivyo hivyo kwa Shabiki wa Aston Villa mwenye mapenzi ya kuona nchi anayotoka Samata atakata ticket ya Kenya. Atalala Kenya atatumia Pesa pale kabla ya kuambiwa Samata anatokea nchi jirani ya Tz. Hizi habari ni za kukanushwa hata kwa level ya Wizara ya habari/Foreign affairs
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1326031
Huyu naye na Olduvai eti ya Kenya.
Tusiwalaumu wakenya wanatushinda mbinu na maarifa.Hapana! Msiwapuuze. Kuna faida wanapata kupitia propaganda hizi. Mtalii anayetaka kupanda mlima Kilimanjaro atakata ticket ya kwenda Kenya na atafikia kwanza Kenya. By the time anaambiwa mlima upo TZ atakuwa keshatumia forex Kenya. Hivyo hivyo kwa Shabiki wa Aston Villa mwenye mapenzi ya kuona nchi anayotoka Samata atakata ticket ya Kenya. Atalala Kenya atatumia Pesa pale kabla ya kuambiwa Samata anatokea nchi jirani ya Tz. Hizi habari ni za kukanushwa hata kwa level ya Wizara ya habari/Foreign affairs
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwanini iko hivyoUsisahau kupitia kujibrand kuwa kiswahili ni chakwao walimu wengi wanaoitwa marekani, uingereza, Australia, Finland, Netherlands n.k kufundisha kiswahili wanatokea Kenya. Yaani katika walimu kumi wanaofundisha kiswahili ughaibuni mmoja ni mtanzania tisa waliobaki ni wakenya
Naunga mkono hojaNimeona watu wengi wanasema eti "tuwapuuze" yaani Sisi wabongo bado Sana Kwenye mambo ya diplomatic.
Hawa wakenya sio wajinga mpaka wanaamua kujipa kila kitu cha hapa Tanzania na Hilo la kupenda kujitangazia linawaingizia watalii wengi na wawekezaji.
Wakenya wanajua Sana kucheza na akili na Hilo wamefanikiwa Kwenye sekta ya utalii kuliko Sisi wabongo,Leo hii ukienda ujerumani kuna waalimu wa Kiswahili wengi kutoka Kenya kuliko Tanzania pia kuna nchi kama ya Canada,Spain,USA na Australia wanaamini chimbuko la Kiswahili ni kenya
Mkikuyu kabisa huyu samata na mama yake ni mkenya Wa Mombasa. Kilimanjaro mkoa upo Tanzania ila mlima uko Kenya.Kwani samatta sio mkenya? Kilimanjaro ipo tz ninajua hilo
This is a serious mental illness!!Mkikuyu kabisa huyu samata na mama yake ni mkenya Wa Mombasa.
Kilimanjaro mkoa upo Tanzania ila mlima uko Kenya.
Tumeelewana?
Sent using Jamii Forums mobile app