Hawa paka siwaelewi.....

Mke wako mjeda ndio analia nyauuuu duh.
 
Mke wako mjeda ndio analia nyauuuu duh.
 
Labda hayo mapaka yanakupa ujumbe kwamba unatafuniwa mkeo mkuu. Jaribu kuyasikiliza kwa makini. Uliposema yanapiga mayowe mkeo anapofika kileleni ndio nikashtuka hapo!
 
cha kufanya sasa subiri waanze wao kisha wewe uwafuatie na mufanye kama wao watakavofanya itakua umewakomesha
 
Ukiwa na ratba ya kuingia JF asubuh kabla hujashuka kitandan basi 90% siku yako itakua ya furaha
 

Huwa wanaisapoti shughuli yako ila sema tu wamezidi kelele waambie wapunguze mikelele waambie wewe mbona unagegeda kimyakimya
 
Sikia mwanangu ongea na wala ndumu muangalie hayo mapaka yanalia sehemu gani halafu we ingia ndani anda kupiga puchu yakianza kulia tu masela wayatandike bakora mpk basi baada ya hapo ulete feedback kama yanaendelea au lah. Kingine jaribu kutafuta waliohama hapo kama nao walikumbwa na issue za kishirikina uenda nyumba hiyo sio salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…