Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Unaomba kibali tozo 150000 ila unaweza chimba bila permitUkitaka kuchimba kisima kirefu unahitaji kibali au ni kichimba tu?
Ukichimba bila permit mamlaka haiwezi kuleta shida kwa mwenye kisima?Unaomba kibali tozo 150000 ila unaweza chimba bila permit
Tupe makadirio ya bei tuweze kuanza kufikiria.KARIBUNI SANA Wells technology TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO
✍️ GEOPHYSICAL SURVEY UPIMAJI ENEO KUJUA LINA MIKONDO YA MAJI SIO KILA ARDHI INA MAJI
✍️ KUCHIMBA KISIMA CHA KISASA CHA MAJI SAFI NA SALAMA KWA MITAMBO MIZIGO
✍️ KUFANYA SERVICE ZA VISIMA
✍️GHARAMA YA UCHIMBAJI NI KWA MITA NA HII NI BAADA YA KUFANYA SURVEY KUJUA MAJI YAKO MIYA NGAPI
MAWASILIANO 0769509666 065771007I
TUNAPATIKANA ILALA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNAFANYA DELIVERY KARIBUNI SANA
Mnaibiwa,laki tatu,unachimbiwa kisima ikiwa materials ni zako,so unaweza kutumia around laki sita hadi sabaMakadirio ya bei tafadhali.mara ya MWISHO niliambiwa mil 5 sina uhakika Kama NI kweli.
Funguka mkuu Hao wanaochimba Kwa laki 3 .Mnaibiwa,laki tatu,unachimbiwa kisima ikiwa materials ni zako,so unaweza kutumia around laki sita hadi saba