lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,747
- 3,460
We ndo sio wa zamani mm nimeanza kuangalia toka 1999
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moja ya tamthiliya za hovyo , ukifatilia hyo tamthiliya utakuja kustukia we ni babu au bibi....!!!
Hebu nitajie hiyo ya zamani kwa hapa Tz ni IPI?Isidingo anachukua namba moja mkuu...walikuja kina the bold n beatutyfull,lamujer de mivida,de Lorenzo,secretory de amor kina the promise na nyingine nyingi ila Isidingo ikabaki!
Zamani kulikuwa na days of our life, sunset beach. Ila ITV kulikuwa na acupulco bay nk. Hii niliingalia toka epsodi wani, kipindi nnaye mkumbuka ni Nandipa alikuwa na boyfriend wake nimemsahau kidogoHe
Hebu nitajie hiyo ya zamani kwa hapa Tz ni IPI?Isidingo anachukua namba moja mkuu...walikuja kina the bold n beatutyfull,lamujer de mivida,de Lorenzo,secretory de amor kina the promise na nyingine nyingi ila Isidingo ikabaki!
Miaka ya 90 hivi imebamba sana...sijajua exactly year iliyoanza,ila ni ya kitambo sanaHii si ndo tamthilia washiriki wanakufa kweli?
Ukisikia mtu anaumwa au kafa ujue kafa kweli?
Tamthilia miaka 40???
Acapulco bay dahhhhh 😂😂Zamani kulikuwa na days of our life, sunset beach. Ila ITV kulikuwa na acupulco bay nk. Hii niliingalia toka epsodi wani, kipindi nnaye mkumbuka ni Nandipa alikuwa na boyfriend wake nimemsahau kidogo