Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,627
- 21,465
Namimi pia ndo naskia Kwa huyu mtuMkuu hili bifu huenda ulikuwa aware nalo wewe tuuhh!!
Hili bifu ulikuwa hulijui wewe tu, wapenzi wote wa burudani wanalijua.Mkuu hili bifu huenda ulikuwa aware nalo wewe tuuhh!!
Karibu mkuu, kitambo hatujaonanaSimba wawili watakaa zizi moja
Thanks brother..nipo nipo na Iceman 3DKaribu mkuu, kitambo hatujaonana
AsanteSasa hiyo ni habari au ni nini kenge ww mtanashati
Hao si wapenzi wa burudani...labda tuwaite wabakaji wa burudani...Hili bifu ulikuwa hulijui wewe tu, wapenzi wote wa burudani wanalijua.
Aisee...Blue alishawahi kum mind Diamond kujiita Simba akidai yeye ni wa kwanza kujiita hivyo