Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,299 Reaction score 15,026 Apr 20, 2021 #1 Hii ni baada ya kukaa mwaka mmoja na mwez mmoja bila kuifungia yanga goli katika mechi za kimashindano.
Hii ni baada ya kukaa mwaka mmoja na mwez mmoja bila kuifungia yanga goli katika mechi za kimashindano.
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,555 Reaction score 17,947 Apr 20, 2021 #2 Naangalia mpira hapa mtangazaji akasema kama ulishaandaa kibonzo cha kumcheka kifute😂😂😂
Nurman Member Joined Jul 30, 2019 Posts 27 Reaction score 30 Apr 20, 2021 #3 duuu balaa kiongozi tupe updates
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,299 Reaction score 15,026 Apr 20, 2021 Thread starter #4 nurman said: duuu balaa kiongozi tupe updates Click to expand... Yanga 1 gwambina 0 nchimbi n wamoto balaaa
nurman said: duuu balaa kiongozi tupe updates Click to expand... Yanga 1 gwambina 0 nchimbi n wamoto balaaa
Dp800 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 2,290 Reaction score 4,631 Apr 20, 2021 #5 Duuh leo kafunga😳😳 mvua itakayo nyesha leo lazima iondoke na watu
W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,983 Reaction score 4,134 Apr 20, 2021 #6 Ndiyo maana leo naona mvua na radi zinapiga hapa. Hongera kwake. Maana ingebidi ajifunze ugolikipa tu
Ndiyo maana leo naona mvua na radi zinapiga hapa. Hongera kwake. Maana ingebidi ajifunze ugolikipa tu
Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,463 Apr 20, 2021 #7 kipofu kaona mbalamwezi
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,201 Reaction score 123,429 Apr 20, 2021 #8 Daah so mwaka umekatika mwana hata la penalt hakuwahi kupata?...kazidiwa hadi na pascal wawa
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,098 Reaction score 10,934 Apr 20, 2021 #9 Pamoja na kuwa mpenzi was Simba Ila ila nampogeza kwa hatua hii...alikuwa anapitia magumu! Huyu ni Mtanzania ,na tuna bahati mbaya ukiondoa Boko hatuna forward mwingine!
Pamoja na kuwa mpenzi was Simba Ila ila nampogeza kwa hatua hii...alikuwa anapitia magumu! Huyu ni Mtanzania ,na tuna bahati mbaya ukiondoa Boko hatuna forward mwingine!
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,299 Reaction score 15,026 Apr 20, 2021 Thread starter #10 Gwambina 1 yanga 1
E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,707 Apr 20, 2021 #11 Yanga 2 Gwambina 1
Pilot_In_Command JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 2,507 Reaction score 3,454 Apr 20, 2021 #12 Namshangaa sana Mwanadamu mwenye AKILI timamu alaf anashabikia YANGA.. ni litimu lakipuuzi kipumbavu
E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,707 Apr 20, 2021 #13 Tupeni lineup ya Yanga
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Apr 20, 2021 #14 ebaeban said: Tupeni lineup ya Yanga Click to expand... Mashabiki wa Uto wameisusa timu yao,hata line up hapa jukwaani wameshindwa kuweka.
ebaeban said: Tupeni lineup ya Yanga Click to expand... Mashabiki wa Uto wameisusa timu yao,hata line up hapa jukwaani wameshindwa kuweka.
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Apr 20, 2021 #15 ebaeban said: Yanga 2 Gwambina 1 Click to expand... Huu usenge sasa gwambina wanazingua
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Apr 20, 2021 #17 Nguvu gunia,akili kisoda.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,675 Apr 21, 2021 #18 Peramiho yetu said: Hii ni baada ya kukaa mwaka mmoja na mwez mmoja bila kuifungia yanga goli katika mechi za kimashindano. Click to expand... Alafu akachomesha🤣🤣🤣🤣
Peramiho yetu said: Hii ni baada ya kukaa mwaka mmoja na mwez mmoja bila kuifungia yanga goli katika mechi za kimashindano. Click to expand... Alafu akachomesha🤣🤣🤣🤣