Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

Pepo la kusambaratisha ndoa limekufikia, achana na kuongea na maekisi
 
Wanaume ni watu wabaya sana kipenzi,basi tu
Pole ndugu yangu , inaweza kuwa wewe uliumizwa sana ndio maana unasema hivi , kuna sababu nyingi ambazo zinapelekea kuachana na nyingi zinatoka kwenu ila kwa vile sisi wanaume ndie tulie kuwa tumependa na upendo wa kweli haufi, na kwa namna hio hatuhifadhi kinyongo na kisasi tofauti na nyie ndio maana nyie mnawaza negative wakati wote linapo kuja swala kama hili.
 
acha tamaa,
utaharibu na kuhatarisha afya, upendo na uimara mahusiano, ndoa au familia yako ya sasa, ni muhimu sana kujizuia...
 
Hapana mkuu achana nae ulioa mwingine let her be usijekuharibu ndoa yake bure
 
Kama wewe umeoa mwanamke baada ya miaka mingi ghaflq anarudisha mawasiliano na ex wake na wanaanza kuomba kuonana, utalichukuliaje hilo?
Binafsi niseme sioni shida, ujue binadamu tumejawa na ubinafsi wa aina yake, haturuhusu mtu kuwa huru na furaha eti kwaajili ya maslahi yetu, aisee mimi huo utumwa siwezi , namuacha mtu awe huru , awe na furaha, akutane na anaye mpa furaha.
Jana yetu imebeba furaha yetu kwa kiasi kikubwa , mtu kuikumbuka jana yake kwa ajili ya kufurahi mimi ni mzuiye eti kwa sababu ya wivu wangu hapana aisee.
 
Okay, nimeona comment yako nadhani umemuelewa zaidi kwasabu ushawahi kuexperience... Sijui kwanini mawazo yangu yalipeleke hukoπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ
My dear usiombe umpende mtu halafu mtengane, kisha mkutane tena baada ya miaka mingi, hata kama ulimfumania hundred percent hutakumbuka hilo zaidi ya yele mema mlioshikishana, hii ipo sana kwa sisi wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…