ukivunjika si chini ya miezi sita. za kienyeji nimesikia tu stori zake ndani ya mwezi au na nusu unatembea.
pole sana mkuu. mi nimepasuka ligaments mwezi sasa lakini nakanyaga mdogo mdogo.
Kuna mtaalam wa mitishamba anapatikana Bukoba,huyo anatibu hata wale walioshindikana hospitalini ambao huwa katika hati hati ya kukatwa viungo vyao,akikutibu matokeo yake unayaona baada ya week wiki moja mpaka mwezi mmoja.
Kwa jina anaitwa "Kayunga Magufa" ila kwa tafsiri yake kwa kiswahili ni Muunga mifupa.
No yake ni hii, 0753231057
Ndugu zanguni ninaomba anayefahamu kuhusu matibabu ya mifupa iliyovunjika asaidie hapa:
1. Je kuna dawa ya kuharakisha kujiunga kwa mifupa hasa ya kienyeji.
2. katika hali ya kawaida mifupa huunga baada ya muda gani hadi mtu kurudi kutembea? ( kama alivunjika mfupa wa paja). mwenye uzoefu tafadhali toa ushuuda hapa.
3. Binafsi ninatimiza miezi 4 tangu niganyiwe upasuaji baada ya kuvunjika mifupa ya mapaja na kuwekewa rods na nails .I use crutches. How long will I be
sitting back like this?
asante
Tags: None
Copyright JamiiForums.com
Edit Reply Report Post
Submit Reply
kwanza pole sana.
daktari aliekufanyia upasuaji hajakwambia itakuchukua muda gani kupona??
mimi sio daktari lakini najua mfupa kuunga inategemea na umri wako, mtoto wa miaka 10 mfupa utaunga haraka kuliko mtu mzima wa 40yrs.
yupo bk sehem gani? na ushashuhudia utendaji wa dawa zake?