Hayo mazingira nimeya tengeneza sana ila anaruka sikawaida mkuu... Yani kuna wakati najisemea ajichanganye tuu iwe hata siku zake za hatari tukutane faraga nifanye finishing kabisa na sitojutia cz anakila sifa ya kua mke nae mtaka , hivo sitojutia hataakibeba ujauzito wangu ikitokea kategeka ..Tatizo la kiufundi la kushindwa finishing. Jitahidi kujiupgrade kidogo and don't chase her! Atakuona upo desperate. Tengeneza mazingira upige mashine kwanza. Usiruke stage.
Unatuficha. Wanawake wasioomba hela hawapo dunia hiiSijawahi kumpa hela hata siku moja mkuu na hii ni kwasababu nataka awe mke
Umri wake na wako, pls?Poleni na majukumu ya hapa na pale
Na binti nilie mwelewa katika hizi harakati za kutafuta mke, nilimtongoza na wakati wa kuagana nakumbuka alinijibu hivi.
"wewe unajiamini sana na unazunguka sana mitego ni kikuuliza maswali yangu basi jitahidi"
Siku zikaendelea kwenda nikaona hatoijibu la kueweka nikaona acha nitafute spare za kutosha cz natafuta mke wa kuoa atakaekaa mkao wa kua mke basi itakua bahati yake.
*Niliendelea kuwasiliana nae hapa na pale ila nikikumbushia jibu langu anasema kwa sasa hayupo teyari kuingia kwenye mahusiano au kuolewa, wakati mwingine anasema anataka tuwe marafiki tuu , jambo ambalo mimi nimelikataa kabisa na kumwambia mimi sitaki uwe rafiki yangu mimi nataka uwe mke wangu ...
Alikataa na akasema labda tuwe marafiki nikajisemea moyoni huyu binti asinichanganye acha nimpotezee nicheck na spare zingine yeye nitakua simtafuti labda anianze yeye...
Cha kushangaza baada ya kumpotezea muda mrefu alinitafuta na kuniambia kanimiss na wala sikujibu text yake nikajisemea tena moyoni may be ana mastress anataka kunitumia kama njia ya kumliwaza..
Siku zikapita nipo kimnya sana yeye naye kimya ila uvumilivu ukamshinda akanitafuta tena na kunilalamikia why nipo kimya au kunatatizo
Hapa nilimjibu
""mimi niko pouwa tuu""
natukachati chati baada ya hapo nikamwambia bye, siku mkumbushia kama na mpenda ila nikampotezea tuu huku nikijisemea mwache labda animiss zaidi may be atakubali ombi langu maana ndie mwanamke naeona atanifaa kua mke ninae mtaka..
Wakuu huyu binti bado sijamuelewa na hii ni kutokana na;_
1:Nikikaa kimnya bila kumtafuta ananilaumu sana ,
2: Nikitaka nipajue kwao hataki anasema kumjua yeye inatosha,
3: Nikitaka tuonane hataki na nikikutana nae anapita mbali kwa kunikwepa nisimsimamishe na mimi na vunga tuu najifanya nipo zangu na mambo yangu, ila baadae ananitafuta ananiambia aliniona ila nikampotezea yani anakua kama sitaki na taka
4: Nikimwambia aje geto tuzungumze zaidi hataki , na nikimwambia tutoke tukakae sehemu tupigepige story hataki pia..
.wazee wangu, Baba zangu, mama zangu, Kaka zangu, dada zangu ,ndugu na marafiki semeni neno wakuu maana nataka nimkatie tamaa ni mwaka sasa na mfukuzia huyu binti maana anakila sifa yakua mke wangu sema tuu ndio hivyo, hizi spare zingine nikiangalia angalia bado ni za moto sana
ngoja nisubiri jibu na mimi.Umri wake na wako, pls
Violence hii unaitafutaUmri wake na wako, pls?
PerfectHuyo mwanamke amejua unampenda kweli na wewe anajua ndo sahihi kwake, ila kuna vitu vichache hapo
kwanza, atakuwa yupo kwenye mahusiano na mtu mwengine ambaye, anamuelewa zaidi na, kuna vitu huko anavipata ambavyo kwako anjua itakuwa ngumu,...may be pesa, nk.
Pili..bado yupo kwenye umri wa kujaribu at her peak, na kukuhakikIshia atakukubalia ila mpaka anaowataka wampotezee..au apigwe mimba halafu mwamba akimbie
Cha kukushauri usiingie kwenye games zake, nimefurahi uliposema huwa haumkubushii kuhusu swala la kuwa naye mpotezee yaan mpaka yeye akutafute
na hata akikutafuta usiwe mtu wa kufanya convo iendelee muache yeye ndo, afanye maongezi yenu yeende.
Huyo mwanamke amejua unampenda kweli na wewe anajua ndo sahihi kwake, ila kuna vitu vichache hapo
kwanza, atakuwa yupo kwenye mahusiano na mtu mwengine ambaye, anamuelewa zaidi na, kuna vitu huko anavipata ambavyo kwako anjua itakuwa ngumu,...may be pesa, nk.
Pili..bado yupo kwenye umri wa kujaribu at her peak, na kukuhakikIshia atakukubalia ila mpaka anaowataka wampotezee..au apigwe mimba halafu mwamba akimbie
Cha kukushauri usiingie kwenye games zake, nimefurahi uliposema huwa haumkubushii kuhusu swala la kuwa naye mpotezee yaan mpaka yeye akutafute
na hata akikutafuta usiwe mtu wa kufanya convo iendelee muache yeye ndo, afanye maongezi yenu yeende.
Ety teyali😂😂.Poleni na majukumu ya hapa na pale
Na binti nilie mwelewa katika hizi harakati za kutafuta mke, nilimtongoza na wakati wa kuagana nakumbuka alinijibu hivi.
"wewe unajiamini sana na unazunguka sana mitego ni kikuuliza maswali yangu basi jitahidi"
Siku zikaendelea kwenda nikaona hatoijibu la kueweka nikaona acha nitafute spare za kutosha cz natafuta mke wa kuoa atakaekaa mkao wa kua mke basi itakua bahati yake.
*Niliendelea kuwasiliana nae hapa na pale ila nikikumbushia jibu langu anasema kwa sasa hayupo teyari kuingia kwenye mahusiano au kuolewa, wakati mwingine anasema anataka tuwe marafiki tuu , jambo ambalo mimi nimelikataa kabisa na kumwambia mimi sitaki uwe rafiki yangu mimi nataka uwe mke wangu ...
Alikataa na akasema labda tuwe marafiki nikajisemea moyoni huyu binti asinichanganye acha nimpotezee nicheck na spare zingine yeye nitakua simtafuti labda anianze yeye...
Cha kushangaza baada ya kumpotezea muda mrefu alinitafuta na kuniambia kanimiss na wala sikujibu text yake nikajisemea tena moyoni may be ana mastress anataka kunitumia kama njia ya kumliwaza..
Siku zikapita nipo kimnya sana yeye naye kimya ila uvumilivu ukamshinda akanitafuta tena na kunilalamikia why nipo kimya au kunatatizo
Hapa nilimjibu
""mimi niko pouwa tuu""
natukachati chati baada ya hapo nikamwambia bye, siku mkumbushia kama na mpenda ila nikampotezea tuu huku nikijisemea mwache labda animiss zaidi may be atakubali ombi langu maana ndie mwanamke naeona atanifaa kua mke ninae mtaka..
Wakuu huyu binti bado sijamuelewa na hii ni kutokana na;_
1:Nikikaa kimnya bila kumtafuta ananilaumu sana ,
2: Nikitaka nipajue kwao hataki anasema kumjua yeye inatosha,
3: Nikitaka tuonane hataki na nikikutana nae anapita mbali kwa kunikwepa nisimsimamishe na mimi na vunga tuu najifanya nipo zangu na mambo yangu, ila baadae ananitafuta ananiambia aliniona ila nikampotezea yani anakua kama sitaki na taka
4: Nikimwambia aje geto tuzungumze zaidi hataki , na nikimwambia tutoke tukakae sehemu tupigepige story hataki pia..
.wazee wangu, Baba zangu, mama zangu, Kaka zangu, dada zangu ,ndugu na marafiki semeni neno wakuu maana nataka nimkatie tamaa ni mwaka sasa na mfukuzia huyu binti maana anakila sifa yakua mke wangu sema tuu ndio hivyo, hizi spare zingine nikiangalia angalia bado ni za moto sana
Asante bro.. nitazidi kufanyia kaziHuyo mwanamke amejua unampenda kweli na wewe anajua ndo sahihi kwake, ila kuna vitu vichache hapo