Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 742
Kipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Watu Kama akina kakobe walikuwepo tuchanzo chako cha hiyo hadithi please
kwamba ana hela kuliko serikali ya Nyerere
Wanapaswa wapuuzwee tu kwa kauli km hyochanzo chako cha hiyo hadithi please
kwamba alisema ana hela kuliko serikali ya Nyerere
Haijalishi I we usiku I we mchana abinuke aibuke [HASHTAG]#kutubukupopalepale[/HASHTAG] lazima ATUBU TUUUU hamna namanKipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Tena alipita njiani akijinadi kuwa serikali yote ipo mfukoni mwake
Hakika Mwl nyerere alihudhunika saaanaa na hatimaye akasema
"Ni nani huyu awezaye kusema serikali yote iko mfukoni mwake je ana mfuko mkubwa kiasi Gan?"
Basi Mwl aliamua kumkamata jamaa na kumtia misukosuko Sana Sana
Mapadiri na maaskofu wakaingilia Kati et Mwl mwachie Mwl mwachieeeeee
Basi nkamwachia kwa masharti na kwa kuwa alkuwa bepari akamwambia NAKUACHIA LAKINI USIONEKANE NDANI YA AFRIKA MASHARKI ..
JPM Fanya hvo pia tia misukosuko tu jamaa atakaa kimya tu
Hakusema kuwa ana pesa kuliko serekali, bali serekali yote ipo mfukoni mwake. Muktadha mzima haukuwa pesa! Vinginevyo unachochea tuKipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Tena alipita njiani akijinadi kuwa serikali yote ipo mfukoni mwake
Hakika Mwl nyerere alihudhunika saaanaa na hatimaye akasema
"Ni nani huyu awezaye kusema serikali yote iko mfukoni mwake je ana mfuko mkubwa kiasi Gan?"
Basi Mwl aliamua kumkamata jamaa na kumtia misukosuko Sana Sana
Mapadiri na maaskofu wakaingilia Kati et Mwl mwachie Mwl mwachieeeeee
Basi nkamwachia kwa masharti na kwa kuwa alkuwa bepari akamwambia NAKUACHIA LAKINI USIONEKANE NDANI YA AFRIKA MASHARKI ..
JPM Fanya hvo pia tia misukosuko tu jamaa atakaa kimya tu
Kipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Tena alipita njiani akijinadi kuwa serikali yote ipo mfukoni mwake
Hakika Mwl nyerere alihudhunika saaanaa na hatimaye akasema
"Ni nani huyu awezaye kusema serikali yote iko mfukoni mwake je ana mfuko mkubwa kiasi Gan?"
Basi Mwl aliamua kumkamata jamaa na kumtia misukosuko Sana Sana
Mapadiri na maaskofu wakaingilia Kati et Mwl mwachie Mwl mwachieeeeee
Basi nkamwachia kwa masharti na kwa kuwa alkuwa bepari akamwambia NAKUACHIA LAKINI USIONEKANE NDANI YA AFRIKA MASHARKI ..
JPM Fanya hvo pia tia misukosuko tu jamaa atakaa kimya tu
Mkuu nahitaji hii clip nimejaribu kudownload ikazingua, Sijui naipatajeUsimfananishe Baba wa Taifa na vitu vya ajabu ajabu.