Hata Mwalimu Nyerere aliwahi kukumbana na watu kama Kakobe

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
843
742
Kipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Tena alipita njiani akijinadi kuwa serikali yote ipo mfukoni mwake

Hakika Mwl nyerere alihudhunika saaanaa na hatimaye akasema
"Ni nani huyu awezaye kusema serikali yote iko mfukoni mwake je ana mfuko mkubwa kiasi Gan?"
Basi Mwl aliamua kumkamata jamaa na kumtia misukosuko Sana Sana
Mapadiri na maaskofu wakaingilia Kati et Mwl mwachie Mwl mwachieeeeee
Basi nkamwachia kwa masharti na kwa kuwa alkuwa bepari akamwambia NAKUACHIA LAKINI USIONEKANE NDANI YA AFRIKA MASHARKI ..

JPM Fanya hvo pia tia misukosuko tu jamaa atakaa kimya tu
 
Haijalishi I we usiku I we mchana abinuke aibuke [HASHTAG]#kutubukupopalepale[/HASHTAG] lazima ATUBU TUUUU hamna naman
 
Kipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Tena alipita njiani akijinadi kuwa serikali yote ipo mfukoni mwake

Hakika Mwl nyerere alihudhunika saaanaa na hatimaye akasema
"Ni nani huyu awezaye kusema serikali yote iko mfukoni mwake je ana mfuko mkubwa kiasi Gan?"
Basi Mwl aliamua kumkamata jamaa na kumtia misukosuko Sana Sana
Mapadiri na maaskofu wakaingilia Kati et Mwl mwachie Mwl mwachieeeeee
Basi nkamwachia kwa masharti na kwa kuwa alkuwa bepari akamwambia NAKUACHIA LAKINI USIONEKANE NDANI YA AFRIKA MASHARKI ..

JPM Fanya hvo pia tia misukosuko tu jamaa atakaa kimya tu
Hakusema kuwa ana pesa kuliko serekali, bali serekali yote ipo mfukoni mwake. Muktadha mzima haukuwa pesa! Vinginevyo unachochea tu
 
Unless kama nawe ni part of the system lakini kama ni mwananchi wa kawaida halafu unashadadia udikteta wa JPM; basi you're one among millions of idiots.

Lakini ajabu ya Watanzania, unaweza kukuta mtu mwenyewe bado unalala kwenye chumba cha kupanga Uswahilini huku ukidhani umaskini wako unatokana na akina Kakobe na kwa sasa ni akina JPM ndio watakaokutoa kwenye hiyo hali!!!
 
Usimfananishe Baba wa Taifa na vitu vya ajabu ajabu.

Kipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Tena alipita njiani akijinadi kuwa serikali yote ipo mfukoni mwake

Hakika Mwl nyerere alihudhunika saaanaa na hatimaye akasema
"Ni nani huyu awezaye kusema serikali yote iko mfukoni mwake je ana mfuko mkubwa kiasi Gan?"
Basi Mwl aliamua kumkamata jamaa na kumtia misukosuko Sana Sana
Mapadiri na maaskofu wakaingilia Kati et Mwl mwachie Mwl mwachieeeeee
Basi nkamwachia kwa masharti na kwa kuwa alkuwa bepari akamwambia NAKUACHIA LAKINI USIONEKANE NDANI YA AFRIKA MASHARKI ..

JPM Fanya hvo pia tia misukosuko tu jamaa atakaa kimya tu
 
Kakobe kawapiga za utosini kwelikweli TRA hakukaliki,polisi usingizi umepaa,Lumba nako viti vinawaka Moto mpaka mmeanza kufikria kufukua makaburi ambayo mulisema hamtayafukua.
 
Mgiriki alisema serikali yote ya mzanaki iko mfukoni mwake. Mzanaki akashangaa huyu jamaa atakuwa ma mfuko mpana kiasi gabi bola shaka atakuwa anatoa rushwa kea wasaidizi wangu.
Mwl kaamua kumkamata ma kutua kizuizini mpaka Kenyatta co bepari akapiga magoti kea niaba ya mabepari
 
Aisee usimfananishe J.k.nyerere na upumbav mwingine. Our best president so far, and times zimebadilika.. by then mifumo ya serikali ilikuwa tofauti.. kwa sasa huwez kumfungia mtu ndani.. kuna sheria na taratib kibao za kufuata.

Mfalme wako hawez fanya unacho mshauri
 
Wewe mjaze magufuli ushetani. yakishampata ya kumpata aina ya watu kama mleta mada watafungua nyuzi za kumkejeli na kumzomea kama anavyofanyiwa mugabe na watu wake.

hili ni onyo kwa serikali ya awamu ya 5 chini ya CCM:

Ikiwa watu hawa Wameinuliwa na Bwana Mungu ili kukemea utawala wenu na makandokando yake basi ni heri mkawaacha ili msije kunywa kikombe cha ghadhabu ya Bwana Mungu wa Majeshi, kwa maana hamtampinga mjakazi wake bali mtampinga Yeye Aliye Hai!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom