Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Anamzidi Fei toto nauliza tu
Leo Samakiba uliona touch moja mbaya sana alifanya uwanja mzima ulilipuka shangwe. .Fei Toto sijamfatilia kiuchezaji kama navomfatilia HD
Acha unazi mzee babaAnamzidi Fei toto nauliza tu
We ndo mnazi.....Acha unazi mzee baba
Wakati ligi inaanza huyo feitoto wenu mlikuwa mnamlinganisha na chama baadae mkahamia kwa Mkude Sasa mpo kwa HD yanga mtateseka Sana mwaka huu
Tatizo maisha yake ya nje ya uwanja yana muathiri sana na hii ipo sana kwa wachezaji wanaotokea temeke
Ndio maana ukuangalia Temeke kuna vipaji vingi sana lakini hakuna wanaotoboa kufikia hayo mafanikio
Meneja wake ni Cambiaso ambaye anauwezo wa kumpeleka mchezaji timu yoyote Africa
kunajifanya wajuaji wakati bado hawajafika kokote
Wakati ligi inaanza huyo feitoto wenu mlikuwa mnamlinganisha na chama baadae mkahamia kwa Mkude Sasa mpo kwa HD yanga mtateseka Sana mwaka huu
HD ni fundi.. ni vile tu maagent wakibongo wapowapo tu
Fei Toto is something else..Dont compare him with nobodyAnamzidi Fei toto nauliza tu
G
Fei Toto is something else..Dont compare him with nobody
Hapo ndio tunakuwa wachezaji wetu wana fail, wakisikia jukwaa basi wanajuwa wamemaliza. Ili kuweza kwenda kucheza huko majuu sio hizo touch ni uwezo wako wakuelewa tactic za kimpira. Ni kama engine ya gari kila part lazima ifanye kazi ili kusukuma gari na ukiwa mchezaji na zaidi wakati hakuna room ya kufanya makosa. nataka nikumbushie tu mechi moja ya Tanzania na Ivory coast, sure boy wakati huo yuko vizuri tu akawa na chenga zake kugeuka mara na watu wanashangilia sana sababu tu kulikuwa na mtu kama Yaya Toure lakini Yaya hakuwa anapiga chenga wala kukimbia hovyo unaona sehemu ya pass anapiga, sehemu ya shoot anapiga na kuna wakati ana jiposition kubana nafasi katika kulinda defenders huwezi kumuona yuko out of position maana itacost team. mfano mdogo wa kwetu huwezi kumuona Samatha anafanya mbwembwe ndio maana anakubalika huko.Leo Samakiba uliona touch moja mbaya sana alifanya uwanja mzima ulilipuka shangwe. .
Mbona Ozil mlaini lakini fundi. DOGO anawezaAnahitaji mabadiliko ya haraka sana kiuchezaji, aache ulaini ulaini akiwa uwanjani
Mbona Ozil mlaini lakini fundi. DOGO anaweza
Kamuulize AmunikeWakati ligi inaanza huyo feitoto wenu mlikuwa mnamlinganisha na chama baadae mkahamia kwa Mkude Sasa mpo kwa HD yanga mtateseka Sana mwaka huu