Umeona mileage na manufactured year lakini?Harrier mil 94?, ngoja nipite
Kibongobongo lazima kushangaa94m??
Kwa Harrier, iyo bei ni ndogo sana...! Kama hujui sasa ivi makampuni ya kutengeneza magari yanajitahidi kupunguza ukubwa wa engine.CC 1900, Bei mil 94 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Prado VX ina CC 4500, hiyo mafuta vipi...!?mil 94 nanunua prado VX