gozy busness Member Joined Dec 5, 2021 Posts 9 Reaction score 9 Feb 17, 2024 #1 Toyota Harrier NEW model ๐ *(EDG) Year 2010 โ๏ธ0689-357-572 }whatsapp โ โ๏ธ0768_041_126 }whatsapp โ Engine Capacity Cc 2360 Engine 2AZ Automatic gear Mileage 55,338km Full option Music Android TVโ Usb/Dvd player Sport rims Full document๐ โ PRICE MLN35 maongezi yapo kidogo
Toyota Harrier NEW model ๐ *(EDG) Year 2010 โ๏ธ0689-357-572 }whatsapp โ โ๏ธ0768_041_126 }whatsapp โ Engine Capacity Cc 2360 Engine 2AZ Automatic gear Mileage 55,338km Full option Music Android TVโ Usb/Dvd player Sport rims Full document๐ โ PRICE MLN35 maongezi yapo kidogo
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,179 Feb 17, 2024 #2 Hii sio new model mkuu. Navyojua ilishatoka model nyingine baada ya hii ambayo bei yake imesimama kibabe zaidi.
Hii sio new model mkuu. Navyojua ilishatoka model nyingine baada ya hii ambayo bei yake imesimama kibabe zaidi.
gozy busness Member Joined Dec 5, 2021 Posts 9 Reaction score 9 Feb 17, 2024 Thread starter #3 Southern Highland said: hii sio new model mkuu. Navyojua ilishatoka model nyingine baada ya hii ambayo bei yake imesimama kibabe zaidi. Click to expand... Bila shaka unazungumzia anaconda boss
Southern Highland said: hii sio new model mkuu. Navyojua ilishatoka model nyingine baada ya hii ambayo bei yake imesimama kibabe zaidi. Click to expand... Bila shaka unazungumzia anaconda boss
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,179 Feb 17, 2024 #4 gozy busness said: Bila shaka unazungumzia anaconda boss Click to expand... Sijui nickname yake kwakweli
gozy busness said: Bila shaka unazungumzia anaconda boss Click to expand... Sijui nickname yake kwakweli
gozy busness Member Joined Dec 5, 2021 Posts 9 Reaction score 9 Feb 17, 2024 Thread starter #5 Southern Highland said: Sijui nickname yake kwakweli Click to expand... Nickname inaitwa anaconda na iyo niliyo nayo badoo inafaamika kama new model au tako la nyani/ farasi mweusi vyovyote boss unaweza kuiita iyo gari
Southern Highland said: Sijui nickname yake kwakweli Click to expand... Nickname inaitwa anaconda na iyo niliyo nayo badoo inafaamika kama new model au tako la nyani/ farasi mweusi vyovyote boss unaweza kuiita iyo gari
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,179 Feb 17, 2024 #6 gozy busness said: Nickname inaitwa anaconda na iyo niliyo nayo badoo inafaamika kama new model au tako la nyani/ farasi mweusi vyovyote boss unaweza kuiita iyo gari Click to expand... Okay boss
gozy busness said: Nickname inaitwa anaconda na iyo niliyo nayo badoo inafaamika kama new model au tako la nyani/ farasi mweusi vyovyote boss unaweza kuiita iyo gari Click to expand... Okay boss
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,708 Reaction score 51,122 Feb 17, 2024 #7 Anaconda ndio new model Kwa sasa
Armani William JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 253 Reaction score 770 Feb 17, 2024 #8 Hahaha higo harrier ndio unaita new model?
gozy busness Member Joined Dec 5, 2021 Posts 9 Reaction score 9 Feb 17, 2024 Thread starter #9 Joannah said: Anaconda ndio new model Kwa sasa Click to expand... Nakubali boss ila wengi waneifaham anaconda mwishoni mwa 2023 kuja 2024 japo imetoka kitambo sana
Joannah said: Anaconda ndio new model Kwa sasa Click to expand... Nakubali boss ila wengi waneifaham anaconda mwishoni mwa 2023 kuja 2024 japo imetoka kitambo sana
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,258 Reaction score 9,728 Feb 17, 2024 #10 Picha ya anaconda plz Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,356 Feb 17, 2024 #11 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
gozy busness Member Joined Dec 5, 2021 Posts 9 Reaction score 9 Feb 17, 2024 Thread starter #12 mbarika said: Picha ya anaconda plz Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand...
mbarika said: Picha ya anaconda plz Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand...
gozy busness Member Joined Dec 5, 2021 Posts 9 Reaction score 9 Feb 17, 2024 Thread starter #13 Million 70
gozy busness Member Joined Dec 5, 2021 Posts 9 Reaction score 9 Feb 19, 2024 Thread starter #14 Toyota harrier NEW model ๐ *(EDG) Year 2010 โ๏ธ0689-357-572 }whatsapp โ โ๏ธ0768_041_126 }whatsapp โ Engine Capacity Cc 2360 Engine 2AZ Automatic gear Mileage 55,338km Full option Music Android TVโ Usb/Dvd player Sport rims Full document๐ โ PRICE MLN35 maongezi yapo kidogo
Toyota harrier NEW model ๐ *(EDG) Year 2010 โ๏ธ0689-357-572 }whatsapp โ โ๏ธ0768_041_126 }whatsapp โ Engine Capacity Cc 2360 Engine 2AZ Automatic gear Mileage 55,338km Full option Music Android TVโ Usb/Dvd player Sport rims Full document๐ โ PRICE MLN35 maongezi yapo kidogo
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,508 Reaction score 203,232 Feb 19, 2024 #15 Tako la nyani likiwa new model, ile harrier macho ya panzi inakuwa model gani? gozy busness said: Toyota harrier NEW model ๐ *(EDG) Year 2010 Click to expand...
Tako la nyani likiwa new model, ile harrier macho ya panzi inakuwa model gani? gozy busness said: Toyota harrier NEW model ๐ *(EDG) Year 2010 Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,471 Feb 19, 2024 #16 Depal said: Tako la nyani likiwa new model, ile harrier macho ya panzi inakuwa model gani? Click to expand... Harrier Anaconda... Utawaweza wabongo basi, wazee wa gari fulani new model wakati ni used from Japan ba ina miaka 10+ nyuma...
Depal said: Tako la nyani likiwa new model, ile harrier macho ya panzi inakuwa model gani? Click to expand... Harrier Anaconda... Utawaweza wabongo basi, wazee wa gari fulani new model wakati ni used from Japan ba ina miaka 10+ nyuma...
T Twenzetu Senior Member Joined Oct 23, 2023 Posts 144 Reaction score 316 Feb 20, 2024 #17 gozy busness said: Million 70 Click to expand... Anaconda mil 70?? ya mwaka gan hyo?