harrier for sale

Wewe unaonekana unajua magari na bei za magari zinavyopangwa. Waambie wakaangalie bei za gari hizo kwenye show rooms! Watashangaa!
 
Kama kuna mtu bado anahiitaji hii harrier bado ipo, sasa bei ni 20 million tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Bei si mbaya utauza.

Lakini hapo nawezapata ndege nne zile za laki tano tano

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…