Uwage unaona aibu kuongea ujinga mbele ya wazazi wakoKuna kitu hamjajua kuhusu diamond.Diamond Ana mikakati mingi sana kuanzia uimbaji wake,collaboration zake, wanawake anaotembea nao,show zake yaani vitu vingi anavyofanya anafanya kwa sababu flani vingine Ni vya kipuuzi kabisa machoni pa watu lakini Mwisho wa siku vina faida kwake.
Harmonise anapita njia za diamond lakini bado ameshindwa kufika pale na hatafika etiii..
Ogopa sana mtu anayezungumziwa tumeona nguvu ya kuzungumziwa kwa Pierre likwidi.
Simba kila sehemu lazima umzungumzie kuanzia baba ake, watoto wake,ex zake,label yake,TV,radio,mama ake,mziki wake,scandal zake,wasanii wake,collabo zake,ujinga wake...saivi project mpya ya kijinga Ni kuhakikisha kuna vita kubwa ya maneno kwenye social network Kati ya uganda,tz na Kenya kuhusu mademu zake .....huu ujinga wote ndo unamfanya awe pale Sasa harmonise Ana ujinga gani???hivi mnajua kwanini tamthilia zipo so addictive??????
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia Tena diamond Ni taasisi sio tena msanii huwezi kumfananisha na kiba, harmonise,vanny au yeyote yule bongo.. Harmonise Ni msanii bado hawezi kushindana na taasisi
Sent using Jamii Forums mobile app
My no one ilikua y dyna nyange
Condeboy Ile wimbo ya amekimbiwa na mkewe, nikiusikia hua nakumbuka mbali Sana. Wife aliondoka akaniachia watoto. Nilipata shida Sana.
Ila mwambieni aloninyima Mimi ndio kampa yeyeyee, kupata foleni nasubiri yangu Mimi hata ichelewe. Mmh sina furaha naigiza ilimradi, watoto wasijihisi vibaya, huyu mdogo anauliza, eti daddy mama ameihama Kaya....
Hahah dahMy no one ilikua y dyna nyange
Nataka kulewa ..melodies za h-babba na pasha
Taasisi mara nyingi zinakuwa DHAIFU
T
Of course ana jina kubwa mtaani na amefanya mengi lazima akae vinywaniZaidi ya mwaka Diamond hajatoa wimbo ila haishi kuzungumziwa, this is something special
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa,umaarufu ni sawa na harufu.
Diamond ni kiwanda na harmonize ni product
Kama unalijua hilo who is he not flop one day? Hakuna msanii aliyabaki kileleni maisha yake yote. Cha muhimu ni kuhakikisha anatumia vizuri muda wake anaokuwa peak kukusanya kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya maisha yake baada ya usanii kuisha. Kwa hilo Diamond kafanikiwa.Walikuwepo kina britney spears waliwikaa na si kwamba ni uzee ndo umepatoa kwenye chart No, kuna kipindi umashuhuri unaishaa.
Dudu la yuyu inamuweka chatini badoNa ni mara ya kwanza diamond kumaliza mwezi mzima bila scandal... Kweli mond anapotea gemuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuuNarudia Tena diamond Ni taasisi sio tena msanii huwezi kumfananisha na kiba, harmonise,vanny au yeyote yule bongo.. Harmonise Ni msanii bado hawezi kushindana na taasisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unalijua hilo who is he not flop one day? Hakuna msanii aliyabaki kileleni maisha yake yote. Cha muhimu ni kuhakikisha anatumia vizuri muda wake anaokuwa peak kukusanya kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya maisha yake baada ya usanii kuisha. Kwa hilo Diamond kafanikiwa.
Upembuzi yakinifu....Diamond ni Msanii Mwenye Nyota, Nguvu & Ushawishi, ila kwenye swala la kuimba, Lyrics & Melody Kwa sasa Harmonize ndiye Msanii namba moja WCB.
Hahahah waswahili na misemo yenu dahTako lina supportiwa na mgongo kumbuka ucsahau ilo ,