INAUZWA Harddisk & RAM

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
944
Salutue Bosses! Ninauza Harddisk ambayo ina 160GB na RAM-1GB. Zote ni za desktop, used kidogo na ni nzima. Bei ya Hard disk ni 30,000/= na RAM ni 20,000/= respectively. Mwenye kuhitaji ani pm tufanye biashara. Pia hii kwa watu wa Dar tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…