Harakati zimeanza CWT, walimu amkeni!

ndai

Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
25
Reaction score
10
wadau, kuna harakat zinaendeshwa katika hatua za awali, mkoan ruvuma, walimu wapatao 100, walikutana siku ya tarehe 16, june shule ya mfaranyak mjini songea! ktk kikao hicho, walimu walilamikia utendaj wa kudhulma dhid ya viongoz wa cwt, wanadai hakuna marejesh ya makato yao, mgawo wa mapato, mwalim house, hakuna semina za chama, wanaambulia fulana kila mei moc, kiongoz mwana harakat ni mwl. Godluck Lesilwa! Tayar Walimu Hao Wameshapata Mwanasheria Kutoka Chadema Songea Na Wanajiandaa Kupeleka Shaur Mahakamani" Wito Wangu, Walimu Mlioko Mikoa Mengine Amkeni! Harakat Zimeanza! By Mwl, Wa Science, Katibu Wa Harakati
 
harakati hizo mnataka nini exactly?... LENGO NI NINI?
kudai hizo semina.marejesho.mgao wa mapato..au??
MNGEFUNGUA KESI YA KUJITOA KWENYE HICHO CHAMA MSIKATWE HELA ZENU
 
Kuna Ufisadi Mkubwa CWT, naomb wabunge waligusie
 
Hoja yako yaweza kuwa na mashiko, ila kwa uwasilishaji huu hakika unadhalilisha taaluma ya ualimu, kwanini usitulie ukaandika hoja yako kwa mpangilio mzuri kama muelimishaji ukawasilisha mada yako vizuri wasomaji wakaielewa vema kuliko hivi ilivyo?

Mwalimu ni kioo, watu wengine wanatakiwa wajifunze uandishi toka kwako.
 
ngoja mwenyekiti atatupia vizur! leo jion tunakutana, usihofu mkuu!
 
Mmechanganyikiwa hujui kama wanatoaga mgao serikalini mkisumbua sana tunawaulimboka
 
Hivi,CWT kina hata website?Ni wapi wanachama wanaweza kuwasiliana na viongozi wao zaidi ya kwenda kwenye maofisi yao ambayo mara nyingi huwakutwa PS
 
Kama ingekuwa ni harakati ya kujito uanachama mimi ningekuwa tayari hata kuchangia fedha kwa ajili ya kuendesha harakati hizi.
 
Kama ingekuwa ni harakati ya kujito uanachama mimi ningekuwa tayari hata kuchangia fedha kwa ajili ya kuendesha harakati hizi.

Mkuu Walimu Wa Nchi Hii Sijui Wakoje, TATIZO KUBWA LA WALIMU NI HICHO CHAMA CHAO CWT. Na CWT NI TAWI LA CCM. Endeleeni Kulalamika Mpaka Mungu Awaone.
 
Hizo ni kampeni tu .kama wamenyimwa haki kwa uongozi wa ccm wamepata mwanasheria kutoka chadema unazan wakifanikiwa watapigia kura ccm? Huyu jamaa anakampenia waalimu ili waungane mikoa yote kuongeza idad ya wahitaji ili tatizo lionekane kubwa na chadema itaonekana kupitia mwamasheria wao kuwa imefanya kitu hapo.nimekula maharage ya mbeyaa akili ipo sauwaaaaaa amka mwalimu usithubutu kushawishiwa
 
Walimu wote Tz unganeni semeni hapana kwa ccm imewanyanyasa vya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…