sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Feb 28, 2012 #21 Yegomasika said: Shukrani sana Sweetlady!. Click to expand... Ahsante Yego, najiandaa hapa nije ukumbini, si pale pale ulipotuambia jana?
Yegomasika said: Shukrani sana Sweetlady!. Click to expand... Ahsante Yego, najiandaa hapa nije ukumbini, si pale pale ulipotuambia jana?
Yegomasika JF-Expert Member Mar 21, 2009 13,164 61,249 Feb 28, 2012 #22 Dena Amsi said: Happy Birthday Mwanawasu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... Thank you very much Mwanawasu!.
Dena Amsi said: Happy Birthday Mwanawasu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... Thank you very much Mwanawasu!.
Yegomasika JF-Expert Member Mar 21, 2009 13,164 61,249 Feb 28, 2012 #23 sweetlady said: Ahsante Yego, najiandaa hapa nije ukumbini, si pale pale ulipotuambia jana? Click to expand... Yes, ukumbi ni ule ule nilokuambia jana...usikose.
sweetlady said: Ahsante Yego, najiandaa hapa nije ukumbini, si pale pale ulipotuambia jana? Click to expand... Yes, ukumbi ni ule ule nilokuambia jana...usikose.
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Feb 28, 2012 #24 Yegomasika said: Yes, ukumbi ni ule ule nilokuambia jana...usikose. Click to expand... Ok, kukosa itakuwa ngumu, kama tayari upo ukumbini mwambie Black Woman ahakikishe anasimamia ugawaji wa vinywaji vizuri wageni ni wengi sana! Hapo getini tulimpanga klorokwini manake aliwahi kupitia mgambo hivyo ataweza kudhibiti wazamiaji kwa ufasaha! Keki mie nakuja nayo!
Yegomasika said: Yes, ukumbi ni ule ule nilokuambia jana...usikose. Click to expand... Ok, kukosa itakuwa ngumu, kama tayari upo ukumbini mwambie Black Woman ahakikishe anasimamia ugawaji wa vinywaji vizuri wageni ni wengi sana! Hapo getini tulimpanga klorokwini manake aliwahi kupitia mgambo hivyo ataweza kudhibiti wazamiaji kwa ufasaha! Keki mie nakuja nayo!
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Feb 28, 2012 #26 FirstLady1 said: bday wapi mwanawane? Click to expand... Usijali nakupitia, wewe jiandae usimame hapo getini kwako!
FirstLady1 said: bday wapi mwanawane? Click to expand... Usijali nakupitia, wewe jiandae usimame hapo getini kwako!