Heshima kwenu wakuu.
Kwa Wale ndugu zetu wakristo Amani iwe kwenu na heri ya sikukuu ya Christmas mnapoadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo ulimwenguni kote.
Niingie kwa Mada moja kwa moja kuwa Kama ilivyo au inavyofahamika kuwa ni miaka Zaid ya 2000 hadi Leo hii tangu Yesu azaliwe hapa ulimwenguni.
Swali ni, je kwanini tunaanzia kuhesabu miaka baada ya kuzaliwa Yesu( hivyo ilitakiwa iwe 2017 B.K) na inasemekana Huko nyuma miaka ilikuwa inahesabiwa kurudi nyuma je ni kwanini?
Swali la kuzingatia je ni umri gani dunia unao tokea uanzishwe, nikipata majibu kwa kuzingatia vigezo Yaan kigezo cha archeologist, theologist au historians nakadhalika itakuwa vizuri.
NAWASILISHA.