physioplus dar
Member
- May 15, 2019
- 69
- 23
Singo?...wewe mjaluo nini?
nimekosea tu hapo. ni shingokwanini unasema hvyo
Ndiyo naskia kwako,, sijui kwa wanawake au lakini hilo begi alikuwa anawekea mawe au?
Ndiyo naskia kwako,, sijui kwa wanawake au lakini hilo begi alikuwa anawekea mawe au?
Mimi hadi kuna kipindi nilisitisha kabisa kubeba begi, ikawa nafuu.
Vitu.Kwani huwa mnaweka nn kwenye begi
Vitu.
OK,,, doctor nimekupatakitaalam msuli wowote ukifanya kazi kwa muda mrefu huumia (microtrauma) na hukaza (unapata tension)hali hizi huleta maumivu kwenye msuli huo.
hii hutoke sana kwa watu wanao beba mikoba au begi la mkono mmoja kwa muda mrefu ,kila siku na kupendelea upande huo huo.
pole. unaweza fuata maelekezo niliyoyatoa hapo juu. itakusaidiaMimi hadi kuna kipindi nilisitisha kabisa kubeba begi, ikawa nafuu.
zipo aina za mabegi ambazo zinasaidia kupunguza uzito au kuelemewa kwa mgongo.mfano yana mikanda miwili na mipana. pia yana mkanda eneo la chini ya tumbo kupunguza ulemevu wa uzito wa begiSasa kuna wale watoto wadogo wa shule wanabeba mabegi ya vitabu utafikiri wako University hao itakuwaje
huo ni mfano tu wa picha ila uti wa mgongo hauishii hapo.Huu uti wa mgongo upoje? Mbona umeishia katikati
Yeah, shukrani mkuu.pole. unaweza fuata maelekezo niliyoyatoa hapo juu. itakusaidia