Duuuu!!!!Line yangu sjumbuki mara ya mwisho kujiunga ni lini ipo ipo tu bora hata tigo kwa eneo nililopo na sio hao
Inategemea uko wapi!maeneo ya Vwawa, Tunduma iko hoi internet ya HalotelJamani nadhani hao HALOTEL mnawapa lawama za bure.
Halotel ni moja ya mtandao ambao naweza download hadi gb20+ per 12hrs speed kubwa hatari..
Nadhani mkuu location uliopo sasa Hv sio rafiki na Halotel ndo maana hupati speed kubwa hapo.
Me hapa nilipo inatembea speed kubwa ajabu kiasi kwamba Jana usiku nimedownload vitu karibia gb20+ na mchana natembea mwendo wakasi ajabu utasema 4g ya TIGO ile.. (Ila TIGO 4G) iko faster kama utapata location nzuri Sema tu ndo hawana vifurushi vya night pack unlimited Kama Halotel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni ilikuwa vizuri, kadri Sikh zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbasa sanaInategemea uko wapi!maeneo ya Vwawa, Tunduma iko hoi internet ya Halotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka wasalimie sana hapo vwawa,...!,hivi sheli ya chaula bado ipo?Mlianza vizuri sasa munamaliza vibaya!! Niliipenda Halotel kwasababu ya internet yenye nguvu, lakini wiki hii ni ya pili hapa Vwawa, internet ya Halotel haina nguvu kabisa hata kuandika ujumbe huu kuifungua jamii forum haina uwezo, nimetumia Vodacom!!! Makapuni ya simu yanapendwa sana kama internet iko strong!! Kwa mwendo huu wa Halotel sijui niiache kutumia????
Sent using Jamii Forums mobile app
IpooooKaka wasalimie sana hapo vwawa,...!,hivi sheli ya chaula bado ipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtandao wangu pendwa nimehama sababu ya kupandishwa bei ya vifurushiSijui kwa nini ..imekuwa vigumu kwangu kuhama voda ..japokuwa vifurushi vilipanda..
If it isn’t perfect ,it’s not good enough