tanzania digital JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 425 Reaction score 269 Oct 10, 2017 #1 Msaada kwa wale waliofanya usahili katika halmashauri ya Mkuranga kwa kada ya Mtendaji wa Kijiji,je walishaita kwa ajili ya usahili wa pili (oral interview)?
Msaada kwa wale waliofanya usahili katika halmashauri ya Mkuranga kwa kada ya Mtendaji wa Kijiji,je walishaita kwa ajili ya usahili wa pili (oral interview)?
faru john junior JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 1,596 Reaction score 1,724 Oct 10, 2017 #2 Tuko kazini tayari
tanzania digital JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 425 Reaction score 269 Oct 10, 2017 Thread starter #3 Hongera sana
S Scropion_Master Senior Member Joined Jan 8, 2017 Posts 109 Reaction score 115 Oct 10, 2017 #4 Waliita siku ile ile usiku, wakafanya oral kesho yake.. kuna dogo wangu alienda kupiga oral...sijajua matokeo yao kama yametoka tayari..
Waliita siku ile ile usiku, wakafanya oral kesho yake.. kuna dogo wangu alienda kupiga oral...sijajua matokeo yao kama yametoka tayari..
U Unkwn Member Joined Feb 20, 2012 Posts 36 Reaction score 3 Oct 13, 2017 #6 zailolly said: Ndio tayar Click to expand... Waungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini.
zailolly said: Ndio tayar Click to expand... Waungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini.
tanzania digital JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 425 Reaction score 269 Oct 13, 2017 Thread starter #7 Unkwn said: Waungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini. Click to expand... Bado
Unkwn said: Waungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini. Click to expand... Bado
zailolly Senior Member Joined Mar 4, 2013 Posts 116 Reaction score 75 Oct 17, 2017 #8 Unkwn said: Waungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini. Click to expand... Hyo sijasikia
Unkwn said: Waungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini. Click to expand... Hyo sijasikia